Mhariri na Moderator ONDOA hapa hii mada ni Dar na Zanzibar, angalia ilivyo how come mnaunganisha mada asee nyie watu?.

Msiwe wazandiki, basi kwenye heading mngefuta Dar ibaki Zanzibar tu ili muone tofauti.
 
Nyie watu wa dar hayo sio mafuriko bali ni matokeo ya ujenzi wa hovyo hovyo, ujenzi holera, jiji halina mpangilio mnategemea maji yapite wapi? Na msipopangilia ujenzi wenu siku moja tutakuja kuwaokota baharini.
Sioni mkoa mwingine wakilalamika mafuriko tofauti na dar, mvua ya dakika tano tu ati mafuriko, je ikinyesha siku nzima si nyumba zenu itakuwa makazi ya samaki na papa wa baharini?.
 
Acha upuuzi basi kila kitu siasa tuu .Wanasayansinwameeleza kuwa mvua ni nyingi sana zitasababisha Mafuriko wewe bado umekomaa tu miundombinu kule Zanzibar hali ni mbaya sana wewe ulishawahi sikia au ona mafuriko ya vile kule Zanzibar.

Siyo kila muda unawaza siasa tuuuu na kutuma Malalamiko serikalini.
 
Najua hili na nilikuwa namwonyesha mjinga mmoja kwamba binadamu tumepewa uwezo wa kufanya makubwa na siyo kila kitu ni kudra za Mungu.
 
Nimekuambia wewe ufinyu wa mawazo yako na kukosa exposure ndiyo tatizo lako. Huko kote Zanzibar na Dar matatizo ni yale yale. Mipangilio mibovu. Mvua iliyonyesha kama tungekuwa na miundo mbinu mizuri na ujenzi iliopangwa hali isingekuwa hiyo. Najua watu wenye ubongo wa nyani kama wewe ni vigumu kuamini hili...
 
Wewe ndo umemaliza kila kitu.Hii mvua ndogo wala si ya kutisha ila uholela wa wakazi. Hivi ingekuwaje kama zikija zile mvua za vimbunga kama katrina storm ambazo huwa zinapiga huko marekani na nchi za huko carribean au zinazopiga huko China ambazo huangusha hadi magorofa
 

Attachments

  • katriina.jpeg
    1.5 MB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…