peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So unashuri nini kifanyike kusiwe na shida?Maisha ya Dar Shida tupu basi tu Yaaan
Mhariri na Moderator ONDOA hapa hii mada ni Dar na Zanzibar, angalia ilivyo how come mnaunganisha mada asee nyie watu?.Amani kwako.
Jiji la Dar Es Salaam na Zanzibar ni kati ya mikoa iliyotajwa kuwa na mvua kubwa zitakazopelekea mafuriko na hali ya sintofaham.
Mvua ya toka jana jioni hadi leo imepelekea baadhi ya sehemu kadhaa kukubwa na mafuriko katika mini hii iliyotajwa hapo juu Dar Es Salaam na Zanzibar.
Picha hii hapa ni kutoka darajani Zanzibar.
View attachment 2804943
Na hii hapa chini ni jijini Dar Es Salaam.
View attachment 2804945
Update: 06.11.2023
📍Zanzibar.
Leo wana nafuu ila wingu limetanda, so wanaweza kununua vyakula na kufanya daily works kupata kipato.
📍Dar Es Salaam.
Kuna uwezekano eneo moja inakunya na kwingine hainyi ila bado hali ya hewa maeneo mengi ni ya kufirika.
Picha kwenye komenti 😄!.
Acha upuuzi basi kila kitu siasa tuu .Wanasayansinwameeleza kuwa mvua ni nyingi sana zitasababisha Mafuriko wewe bado umekomaa tu miundombinu kule Zanzibar hali ni mbaya sana wewe ulishawahi sikia au ona mafuriko ya vile kule Zanzibar.Narudia. Mvua siyo nyingi za kusababisha mafuriko. Ni ujenzi mbovu na ukosefu wa miundombinu. Ila mtu kama wewe unaweza kuona ni ''kudra ya Mungu'' na hakuna la kufanya. Unajua maana ya ''land reclamation''? Nenda Holland uone ndiyo utajua ninachomaanisha.
Pumguen mmejazana mno huko dar....So unashuri nini kifanyike kusiwe na shida?
Utafikiri wanachimba madinihawa washenzi tokea vingunguti hadi gongo ramboto wamefukua fukua tuu.kwani hawawezi kutengeneza kipande kimoja wamalize ndio wahamie kingine?
Wenza wao ni mfano wa kuigwa ktk ukwepaji wa kodi.1. Kuna jamaa hapa ananiambia wenza wa viongozi wakubwa wote wanalipwa mshahara na mafao juu pale wanapostaafu.
Najua hili na nilikuwa namwonyesha mjinga mmoja kwamba binadamu tumepewa uwezo wa kufanya makubwa na siyo kila kitu ni kudra za Mungu.Ubavu wa kufanya Land reclamation bongo hamna! Labda muwakamate majizi yote ya nchi hii muinyongelee mbali na muwapune hela zote walizoiba murejeshe kwenye mfuko wa taifa wa benki kuu ndo mfanye hivyo.
Na mtalazimika kuhama nchi kwa miaka hata 10 shughuli ikamilike
Nimekuambia wewe ufinyu wa mawazo yako na kukosa exposure ndiyo tatizo lako. Huko kote Zanzibar na Dar matatizo ni yale yale. Mipangilio mibovu. Mvua iliyonyesha kama tungekuwa na miundo mbinu mizuri na ujenzi iliopangwa hali isingekuwa hiyo. Najua watu wenye ubongo wa nyani kama wewe ni vigumu kuamini hili...Acha upuuzi basi kila kitu siasa tuu .Wanasayansinwameeleza kuwa mvua ni nyingi sana zitasababisha Mafuriko wewe bado umekomaa tu miundombinu kule Zanzibar hali ni mbaya sana wewe ulishawahi sikia au ona mafuriko ya vile kule Zanzibar.
Siyo kila muda unawaza siasa tuuuu na kutuma Malalamiko serikalini.
Nimependa huo mwaka wa kunufaika na mgao wa pesa 2078 nadhani atalipwa mjukuu wa mjukuu wangu maana ni mbali mnoHahahahaha View attachment 2800996
Duuuu
Wewe ndo umemaliza kila kitu.Hii mvua ndogo wala si ya kutisha ila uholela wa wakazi. Hivi ingekuwaje kama zikija zile mvua za vimbunga kama katrina storm ambazo huwa zinapiga huko marekani na nchi za huko carribean au zinazopiga huko China ambazo huangusha hadi magorofaNyie watu wa dar hayo sio mafuriko bali ni matokeo ya ujenzi wa hovyo hovyo, ujenzi holera, jiji halina mpangilio mnategemea maji yapite wapi? Na msipopangilia ujenzi wenu siku moja tutakuja kuwaokota baharini.
Sioni mkoa mwingine wakilalamika mafuriko tofauti na dar, mvua ya dakika tano tu ati mafuriko, je ikinyesha siku nzima si nyumba zenu itakuwa makazi ya samaki na papa wa baharini?.