Leo naona ule uzi wa watu wa Dar kutupondea watu wa mikoani hakuna mchangiaji.Dar ni magorofa na mabarabara tu ila sehemu nyingi ni majanga sana,miundo mbinu ya Dar sehemu nyingi sana ni mibovu ukilinganisha na huku kwetu mikoani....
 
Nimegawa likes kama njugu

Zanzibar Hali ni shwari

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Poleni sana mlioko DSM

Kuna haja Serikali ivunje Kibubu kutekeleza ile Proposal ya wataalamu kuhusu kuboresha kwa kujenga miundombinu mipya ya Ku-drain maji kuelekea Baharini.

Najua Serikali ina vipaumbele vingi lakini kwa hili la Kuboresha miundombinu lifanyike kama dharura.
 

Nimestuka...!!!!!!

Akili ilijua imeona naniliu.....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Heshima yako washee 😊.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…