Haiingii akilini Jiji lililopo Pembezoni mwa Bahari kujaa Maji Wakati palikua na uwezekano Wa kuelekea mitato yote baharini na Maji yakatembea Kwa Kasi.
Maji kujaa Pembezoni mwa Bahari Ina Maana Bahari imejaa hakuna pa kuelekeza Maji yanarudi nchi kavu.
Ni rahisi sana kujenge mitaro mikubwa ya Maji na kuelekeza Maji yote baharini kuliko kuacha Maji yapenye penye yenyewe kwenye mikondo iliyojaa michanga na takataka.

Waafrika ni Bure Kabisa.

Jiji Kama Dodoma ,Arusha ,Mbeya na miji ya Morogoro, Tabora ,Singida n.k ni rahisi kukumbwa na mafuriko mana hakuna Sehemu rahisi ya kuelekeza mifereji ya Maji Wakati Wa mvua kubwa.

Au mpaka waje wageni kutusaidia.
 
Mbeya maji yote hukusanyika Kyela ambako ndio bonding na kwenye ziwa Nyasa.

Mbeya ni mkoa wa molima sana, maeneo ya tambarare ni Kamsamba, Usangu na Kyela, huko inakotoka michele
 
Wakati tunanunua ardhi sehemu salama mlikuwa mnatuona wapuuzi

Kuleni vyuma hivyo

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mvua ya kawaida tu hiyo sema miundombinu ya Jiji lenu mibovu. Watu wamejenga kiholela na kuziba njia za maji, matokeo yake ndo hayo.
 
Umeongea kitu kizuri lakini ambacho huna uelewa nacho., unajua maana ya Sea Level!?,Sasa kuna maeneo kama jangwani ni at Sea Level, na baadhi ya sehemu Jangwani ni below Sea Level maji yakifika Jangwani ndo mwisho ndo maana huwa wanasubiri yakauke tu bahati nzuri kuna udongo wa kichanga huwa yanakauka haraka. Siku wakitoboa kuunganisha Jangwani na baharini siku hiyo bahari ikiwa inakupwa na kujaa hadi Jangwani na utakuwa mwanzo wa disaster nyingine. Umewahi kujiuliza kwanini maji ya Jiji zima la Dar es salaam mwisho wake ni Jangwani!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…