Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024
Mmesha anza kupata viwanja kibaha picha ya ndege Kama mlivyoshauriwa na mwonaji, kwa ajili ya mwezi wa nne!!!!
 
Acha upuuzi sasa CCM itazuia Mvua ? Mafuriko yapi USA huko pamoja na miundombinu bora
Wenye akili finyu wanaona kuwa kinachotokea hakizuiliki. Na mbaya zaidi wanatumia mifano kutoka USA bila kujua hata mafuriko ya huko yanasababishwa na mvua ya aina gani! Mvua iliyonyesha ni ndogo sana na ilipaswa kusiwe na mafuriko kama ujenzi ungekuwa wa mpangilio na pia mifereji iwepo ya kutosha.
 
Back
Top Bottom