Picha ya Rais: RC Makonda amtaka Msanii Idris Sultan kujisalimisha kituo cha Polisi

Sasa nani kaendesha kikao cha baraza la mawaziri huiyo jana na cha halmashauri kuu Taifa?
Ikiwa mzee alikuwa na birth day?
 
Kosa la Idriss ni nini? na kama nikosa kufanya hivyo vp kuhusu Kipanya naye anavyochora vile nimakosa pia? [emoji22]
 
Hapo Makonda anahusikaje? Maana aliyetoa maelekezo ni Baba Keagan na si Makonda. Hapo ni watu tofauti; mmoja ana mamlaka mwingine hana. Ningekuwa mimi ningepuuza maelekezo ya Baba Keagan.
Unachokitafuta huwezi pata kwani umechelewa...hivi unashinda kesi kweli wewe?
 
Umefika muda ukiwa nchi za watu unaona aibu kujisema wewe ni Mtanzania....

So Sad.

Wapi huko. Mkuu. Acha mbwembwe. Tupo huku na nikwambie nchi yangu kwanza. Hakuna wazazi wanaobaka watoto wao kama wazungu lakini hutaskia mpaka Uwe kwenye Circle fulani. So be proud of your country Hakuna chochote cha Ajabu Tz.
 
Kuna muda makonda pamoja hana elimu anavyeti vya Ku connect hua nampenda kwauchapaji kazi nakunikumbusha tena taaluma maranyingi haimsaidii MTU kua kiongozi(elimu)......kunamuda tena hua ananichafulia mbeleyangu hali yahewa......hapo shida ikowapi...Je kipanya anavochoraga katuni zamagufuli vile hua haoni.
 
Hivi tuseme Baba Kegan ni Makonda na in sawa kapotea step kutoa amri kwa kutumia mtandao wake na mkewe wa Insta.
Tuache hilo,jee mamlaka ya RC Dar yapo hadi mtandaoni? Idrisa anaweza kuwa sawa anaishi Dar lakini amepost utani huo (ambalo sio kosa yeye in comedian) akiwa nje ya Dar au hata ya nchi hapo vipi?
Makonda acha kujipendekeza kupita kipimo ni ujinga, hata mkeo naye aweza kuwa mjinga pia maana hawezi kukushauri kuwa wakati mwingi unafanya ujinga sana.
Haya sasa pambana na Kigwangwala mpenda sifa mwenzio lakini aliyekuona umjinga.
 
Wakati wa JK mlikua mnaitwa Ikulu sikuhizi mnaitwa kituo cha polisi muda hajawahi kuwa rafiki mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…