GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwaga maji babaaa tuelee kama kambaleee
 
Kampeni za mwaka huku ni ccm vs polepole
 
Kwenye hili sakata JK hachomoki, anakenua kenua kumbe ni muuaji mkubwa.
 
Uharibifu wa nchi unaofanywa na sa100 na genge lake ww huuoni? acha akemee anapoweza na wewe jitokeze uisemee katiba na demokrasia
 
Great, humu kuna watu wamelipwa na CCM kuharibu na kujaribu kutibua mazungumzo yako........Usichoke kutuhabarisha, tutee nchi yetu. Hii nchi ni yetu watanzania wote, siyo ya Samia, Abdul, Kikwete, Rostam, Tulia na wezi wengine. Tuipiganie nchi yetu.
 
Kanyagia hapo hapo hadi waanze kutajana mbwa hawa.
 
Bfitannica alisema jana tarehe 28 angekinukisha sana ila hadi mida hii naona kimya kizito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…