GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu jamaa anatumalizia MB tu yan anasema vitu kwa vificho ficho, mara ooh sitaji watu, sqsa ndio nn, yeye kama qmeahamua kumwaga mchele amwage sio anauma uma maneno
 
DAAAH, DAAAH, DAAH....Hivi huyu Mtu yuko wapi na anajiamini nini hivi? Na je ana ushahidi na haya?🤣
 
Sina hakika kama huo muda mtandao utapatikana! Hizo dondoo alizo ainisha hapo ni kubwa mara kadhaa kuliko zote alizo wahi kuelezea.
Hata akileta Saa 10 usiku sawa tu,wahuni lazima waangamizwe safari hii
 
Tutakuwepo
 
Jana kwenye uzinduzi wa kampeni yule Mzee alikua anaongea lakini akua na confidence Tuliozoe Japokua alijikakamua. Kifo cha Mkapa na Magufuli kufuatana tena vifo vya ghafla mda utasema ukweli dunia haina siri
 
Mimi sidhani km wapo watu wenye akili na wanamfatilia !!

mfamaji Mzalendo gani hadi kwanza anyang,anywe tonge mdomoni !!

Kama katoto kadogo umekitoa chupa ya maziwa Mdomoni kilio ukimpa kimyaaaa haaàaaaaa!!!

Pole pole Baada kukosa Uhakika wa kula Vidali vya kutosha !!!

kwasasa lazima Usiku uwote ndoto za Rip JPM kila siku leo kaota lile kesho lile unajiita mwenye maono!!!

mwisho Polepole atazoeya tu kuwa nayeye kwasasa ni wananchi wakawaida kabisa!!

Na kulima kunaitaji Jembe sio Mdomo kile anachotaka kusema sio kipya cha zamani na watanzania kama kusikia wangependa kusikia mambo mapya sio mambo ya tangu 2020 tena nyuma zaid!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…