Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Hiyo falsafa ya utilitarianism ikitumika kusema tukuue wewe ili kuokoa watu wawili, kwa sababu maisha ya watu wawili ni mara mbili ya maisha ya mtu mmoja, utakubali?
Wanaofanya uchaguzi ni wengine sio mimi... hata wagombea niliotolea mfano hawajichagui wao.. wakijichagua hio falsafa haifanyi kazi tena hapo..
 
We unasema polepole hakuna cha maana anachofanya yule ni akili kubwa hauwezi kuelewa anachofanya nikwambie tu vile anavyofanya series ya press ni anawaandaa waTz kisaikolojia kuna plan wamepanga itakamilika mwisho wa izo series za press zake na kama sio tishio kwa CCM why kila press yake we unashindwa kuingia mitandaoni na YouTube kutokana na maagizo wanayopewa TCRA,we mtu mmoja anafanya watu tukose kuingia mitandaoni na YouTube bado unasema hauoni cha maana anachoongea wakati hadi viongozi wako wanamuogopa
 
Wabongo bwana, mnataka msikiaje..kua alipewa njemba mwenye gari Kali aina ya range Rover nyeusi tinted ..aliepiga miwani nyeusi ..ndio muamin ..
Wabongo wengi washamba hawaamini nini sasa wakati ayo uwa ni mawasiliano kwa watu wa intelligence Ata OSAMA na PABLO ESCOBAR Walikuwa hawatumii simu ni mwendo wa barua tu
 
Umeiweka vizuri sana. HP anataka utaratibu chamani kwake si katiba Wala Sheria yeye ktk mambo ya chama chake anaamini ndiye kuujua utaratibu zaidi ya wengine na pengine wengine wanaujua lakini wamepindisha ila yeye anataka utaratibu wao ufatwe. Hili ni kubwa kwake.
Lakini pia anahoja nyingine za ki nchi zinazotokana na mfumo ndani ya chama chake maana chama chake ndo kinachoongoza nchi.
Lakini pia ninavyomuona haikubali uongozi wa Samia. Anataka maridhiano yaanzie ndani ya chama anamlaumu Samia kwa kutaka maridhiano nje kabla ya ndani.
Yaani anataka waridhiane hapohapo Kuna wanachama anataka wasiwepo ktk chama chama chake Sasa sijui ndo amemtafutia sababu ya kumchumkia Samia ama ni kweli kuna mgogora mkubwa ndani ya chama chake ambao kwake yeye anaona Samia hawezi kuendeleza kwakuwa siyo mkali. Anataka kiongozi mkali. Mara anataka wazee wake ambao sidhani kama Wana ukali wowte kwa Sasa.
Lakini kuna siku ataweka mambo yake yote wazi. Nafkiri wakati wake umefika maan Samia ashachukua fomu Sasa.
 
Wanaofanya uchaguzi ni wengine sio mimi... hata wagombea niliotolea mfano hawajichagui wao.. wakijichagua hio falsafa haifanyi kazi tena hapo..
Dhana nzima ya utilitarianism ina makosa kwa sababu kuna mambo huwezi kuyapima ili kujua utility iko wapi.

Halafu, nikikwambia kuwa Polepole ni mlaghai, unatakiwa kujibu hoja ya ulaghai.

Kwa sababu unaweza kuamini huyu anataka utilitarianism kumbe anataka power tu.

Huja address point ya contradictions za Polepole.
 
Muwage na akili Ata kidogo kwa iyo unadhani MPINA hajui kama hatoshinda? Kuna plans zake katega Au wametega na watu wake wewe na mimi kuzijua ni ngumu
 
Wanawezaje wakati alikuwa na Kila aina ya walinzi na ulinzi?

Huonihizo ni porojo za Kisiasa sawa na Timu tuu ambayo imepoteza mechi kutoa lawama?

Kuna ushahidi mwingine wowote anao zaidi ya kupigania kundi lake?
Kama rais wamarekani anapigwa na risasi na kuuliwa na mwingine kuponea chupu chupu na ulinzi wanao wa gharama kubwa,utasema Tz tunaulinzi? Ni mungu tu anawalinda viongozi waTz tusiombe siku kinuke kwenye ziara au kampeni ndo utajua tz hakuna ulinzi na Rais wa tz anavyozurura vile kila events siku watamwingiza chaka na wananchi wanavyomchukia
 
Kina Polepole walitaka Samia asiwe rais mara tu baada ya Magufuli kufariki.

General Mabeyo aliwahi kusema baada ya Magifuli kufariki kuna watu hawakutaka Makamu wa Rais awe Rais.

Ndiyo hili kundi la Sukuma Gang, kina Ndugai, Polepole na Bashiru.

Hawakutaka Samia awe rais na sasa wamerudia hoja yao.

Hii ni internal power struggle ya CCM ikiyovikwa maneno mengi ya kuchanganya watu tu.
 
Rais hatakiwi kufa au?
 
Soon atamtaja aliyemchomoa betri john
Hawezi kuwa anamjua na ingekua anamjua Huyu wangeshafanya nae upatanisho mapema sana in any means.

Ana siri anazojua ila sio zile za ndaniii za kuleta taharuki na madhara kwa Taifa ndio mana wamemwacha.

YOte kwa Yote anawasumbua sana kichwa wapo.kimya ila sio kwamba wanafurahishwa na hizi story zake, wanatamani hata wajue Alipo Wamfate wamfumbe mdomo ila ndo hawajui

Mwana ana hama hama kama Jua la Machweo
 
Kuna mambo hawezi kusema kutokana na kiapo chake kama mtumishi wa umma. Ndio maana anapiga mdogo mdogo kwa code. Yapo mengi ya kusema akisema yote kesho ataongea nini? Kwa kushusha nondo chache anawapa hofu hata hao "wahuni" maana hawajui kesho atasema lipi.
 
Kama hawajui aliko na Kila siki Yuko mtandaoni basi ni vilaza wa hedi
Najua wanajua aliko wanamvutia kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ