Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

CCM linawahusu hili....

-Domhome-
 
Tiketi na barua ya mwaliko please. nikufuate mara moja!

nakujazia na Visa kabisa.......njoo tu.......maana najua huna namna.........
 
Reactions: bht
HAWAMAJAMBAZI WANAOPIGA RISASI SABA WAKO.MBALI SHETANI ANAWAONA WALITAKA UHAI SIO Gari WALA VITU WALAPESA
 
Kutoka kwa Joseph Selasini Mbunge wa Rombo,,,,

Amesema kuwa maelezo aliyopata ni kuwa alikuwa akifuatiliwa na gari tangu anatoka
bungeni na dereva wake alilishtukia.
Amesema kuwa alivyoona wanamfutilia alipofika nyumbani, dereva alimsihi Lissu asishuke ndani ya gari.

"Hao watu walipoona hawashuki walijifanya kuna kitu wanaangalia walivyoona kuna utulivu
walisogeza gari lao ambalo ni tinted na kuanza kurusha risasi upande wa Lissu."

Selasini amesema, “Risasi zilimpata mguuni, mkononi na tumboni lakini daktari anasema
anaendelea vizuri.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ni mazito! Tuhuma tu bila uthibitisho si sawa! Inweza kuwa kuna interest fulani kwenye tukio hili. Ila shutuma tu si sawa!

Mpaka tupate taarifa rasmi. La sivyo kila mtu anaweza kuongea la kwake na akajiona yuko upande sahihi.

Upone haraka mh. Lisu.

Watch your tongue....you may loose it!
 


well spoken,
let the police do their works, hapa tupo katika wakati mgumu kuna jitihada za kumkwamisha jpm.
mimi naona hata Mhe. rais aongezewe ulinzi zaidi hii sio kawaida.
 
Kichwa cha habari kinajieleza ,wengi wameandika kama wanakimbizwa,hakuna utulivu,vielelezo wala maelezo ya kina kuhusu tukio la kupigwa risasi Lisu.Naomba mwenye maelezo kwa kina atujuze kwa utulivu sio kwa mihemko kama habari za wengine hazieleweki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape alitolewa bastola na usalama hadharani kabisa, why washindwe kumvamia Lissu??
 
tayari mshawageuzia kibao whistleblowers wawili na mshaonyesha hamna siri ku-protect witnesses, mwitikio unaweza kuwa sio mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…