Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Unajua tusiongee kishabiki,tujitahidi kuwa waangalifu juu ta mambo haya
Sisi tunao onya ndiyo waangalifu na nyinyi mnao shabikia upumbavu ndiyo msio waangalifu mmepofuka macho ya ufahamu mmekuwa maanithi wa akili (sijui kama unajua anithi wa akili nini maana yake )kuna anithi kimwili na anithi kiakili ....Anithi kimwili siyo mbaya kama anithi akilini
 

Polisi mwachieni huyu kijana wa watu tunajua waliompiga pande ni Polisi. Juzi tu hapa Chadema wametoa hadi video leo hawa Polisi eti tuwaamini🤦🏾‍♂️
 
hivi kama unataka kushawishi watu wakubali usemayo kwa lugha hii utafanikiwa? acheni kuwaharibia watu wanaotafuta maendeleo na mabadiliko nchini kwa kutoa maneno kama mvuta bangi
 
Mbona huyo mtuhumiwa kapatikana haraka haraka sana,michezo ya ccm polisi hiii
Muliro hana tofauti na Wasira. Uwezo wao wa kufikiri uko chini sana. Hayo yote yametokana na uzee.
 
Polisi wa nchi hii wakamate mtuhumiwa usiku huohuo wa tukio kama hili.

Unaamini kakamatwa mtuhumiwa kweli au mtaletewa kanyaboya tu kusafisha hali ya hewa!
huyo ni kanyaboya,hii haraka ya kukamata watuhumiwa imeanza lini,SPEED YA SGR
 
huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu

Chawa Watanzania ni ma mbumbumbu🤮🤮🤮. Dhambi ya uonevu mtakuja kuuana wenyewe mnakoenda kwasababu ya nini hasa? Ufisadi fanyeni kazi
 
huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu
Mkuu Nakuonya tena na tena,CCM itakusababishia laana kama na kejeli zako unazipeleka Kwa watumishi Mungu.Haijalishi wewe ni Imani gani lakini utalaanika wewe na familia na ukoo wako wote.Usipoacha magonjwa kwenu yasiyotibika yatawaandama,Mikosi itakuwa juu ya familia yako.Fedha zote haramu unazopata CCM zitaishia kwenye matibabu.Acha mara moja tabia hiyo
 
Yaani Padre Kitima aliendelea kutandika pombe kuanzia saa moja hadi saa nne.na robo usiku

Sadaka za wakatoliki zinabomolewa hasa.
Hongereni wakatoliki watoa sadaka
Mapdre wote wanawafadhili wao,Wala hakuna anayetegemea sadaka.Ungekuwa mkatoliki ungelewa kazi za sadaka
 
huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu
baadhi ya ma padre ni vinara kwa kula pisi za watu walioolewa na wasioolewa, pia wana biashara mtaani mabazo zinaweza kusababisha uadui na baadi ya watu
 
calm down with your useless nonsense mayhem gentleman
Samahani ndugu nimetumia maneno makali sana. Nimeumia sana. Nilitegemea uonyeshe huruma kwa aliyeumizwa, badala yake unamtolea Padre shutuma ambazo sidhani kama una uhakika nazo. Hata kama ujumbe wa RC umewaumiza nyie CCM lakini isifikie mahali tukakosa utu wa kuhurumiana mwenzetu anapofikwa na majanga.

Mimi si Mkatoliki na wala si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Mimi chama changu ni Tanzania. Naipenda nchi yangu ambayo Mungu alipenda nizaliwe ndani yake.
Mambo yakiharibika Tanzania sina nchi nyingine ya kwenda hapa duniani. Tushirikiane kuhakikisha HAKI inatamalaki nchini. AMANI ya kweli hutokana na misingi ya HAKI kusimamiwa vyema.
Mungu ibariki Tanzania.
 
acha uropokaji gentleman,
huna haja ya kubabaika na vyama vya siasa wala haikusaidii chochote kutetea waovu wa kujificha madhabahuni kananakwamba ni wajomba zake yesu.

zaidi sana sihusiki na laana za kilofa namna hiyo gentlema
 
baadhi ya ma padre ni vinara kwa kula pisi za watu walioolewa na wasioolewa, pia wana biashara mtaani mabazo zinaweza kusababisha uadui na baadi ya watu
ndio ni kweli kwani na wao ni binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…