Walitakiwa waweke majina yake matatu na namba yake ya NIDA, namba yake ya simu ikibidi, lengo ni kujiridhisha na wasemacho polisi.MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma
Qmmmkohuenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu
Hiki ki ajuza naona urais unakitoa akili.Vibaka wa kibibi Samia hawa. Hata ukiwa mjinga namna gani utajua hawa wametumwa kwa sababu kanisa limesema ukweli. Samia amesikika mara nyingi akitishia viongozi wa dini wanaosema ukweli.
Uzuri ni kwamba raia hawahitaji taarifa,majibu tayari tunayoPolisi wa nchi hii wakamate mtuhumiwa usiku huohuo wa tukio kama hili.
Unaamini kakamatwa mtuhumiwa kweli au mtaletewa kanyaboya tu kusafisha hali ya hewa!
muliro yuko vizuri kichwani tatizo amri anazopewa usijekuta ndo za hovyoMuliro hana tofauti na Wasira. Uwezo wao wa kufikiri uko chini sana. Hayo yote yametokana na uzee.
Acha wivu. Ulitaka atumie pesa zakoYaani Padre Kitima aliendelea kutandika pombe kuanzia saa moja hadi saa nne.na robo usiku
Sadaka za wakatoliki zinabomolewa hasa.
Hongereni wakatoliki watoa sadaka
Halijulikani ni kabila gani, dini ganiJina Rauli Mahabi Haraja... limeingia kwa mara ya kwanza kwenye google search
Grow up dude,Labda miaka yote hiyo alikua hatombi mke wa huyo jamaa
Haina tofauti na alidaiwa kumteka Mo Dewji. Drama za kichoko.😂😂😂😂
Mlitaka asikamatwe mtu ili lawama ibakie kwa serikali Sio ???
prof janabi sialisema tunywe moja masaa matatu auAcha wivu. Ulitaka atumie pesa zako
Janabi ndio nani!?prof janabi sialisema tunywe moja masaa matatu au
Daaa! Yaan asee anaonekana anapenda sana umafia au atakuwa sio mtz, wala hizo sio sifa za wanCCM au atakuwa mchawi ashazoea kula nyama za watu.Bro tumia akili muda mwingine uchawa wako utatufikisha pabaya.
Rais aharibikiwe kwa lipi,kitima ni wa kwanza kushambuliwa akiwa bar!?Grow up dude,
Haya matusi kwa manufaa ya nani?
Mnamharibia Mh. Rais kwa huu upumbavu!....
Wengine ni akina nani mliowashambulia?Rais aharibikiwe kwa lipi,kitima ni wa kwanza kushambuliwa akiwa bar!?
Ugomvi bar ni kila sikuWengine ni akina nani mliowashambulia?
na wapi hasa aliposhambuliwa, murilo anasema alishambuliwa chooni, tec alishambuliwa kwenye uchochoro akielekea nyumbani,Issue ni kunywa au issue ni kushambuliwa akiwa eneo la makaazi yao?
Hivi aliyetoa ile statement ana weredi?
Mipango ni ya kikundi,Ugomvi bar ni kila siku
Epuka kuanzisha ugomvi bar,ukiona umeanza kulewa,kalaleMipango ni ya kikundi,
Crime is individual,
Endeleeni!