Mnaona mkitaja kinywaji ndio mtapata kichaka cha kijifichia? Huyo aliyekamatwa alipaswa kutajwa kwa majina matatu na namba yake ya NIDA? Askofu Pisa ametoa taarifa maeneo hayo hayana bar. Huu mchezo wa kutoa taarifa za uongo huwa mnazitumia sana kwa cdm, lakini sasa utafika mwisho.Wewe huoni uzito wa tukio? Unaona Katibu wa TEC ni sawa na hayo matukio mengine? Uliambiwa baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa alikimbia? Hujaona swala la kinywaji hapo? Shirikisha vidole na ubongo wako.
Padre Kitima Anatumia pesa za sadaka kulewea unaona sawa? Waumini wanabanwa kwenye jumuiya hatari kuwa wachangie hadi maskini wasipochangia mapadre wanagoma kuwapa huduma kama ndoa,mazishi nk kisa hatoi sadaka jumuiya kumbe wanachangia chapombe akina Padre Kitima nkAcha wivu. Ulitaka atumie pesa zako
Wewe ulitaka anywe togwa!?Padre Kitima Anatumia pesa za sadaka kulewea unaona sawa? Waumini wanabanwa kwenye jumuiya hatari kuwa wachangie hadi maskini wasipochangia mapadre wanagoma kuwapa huduma kama ndoa,mazishi nk kisa hatoi sadaka jumuiya kumbe wanachangia chapombe akina Padre Kitima nk
Hiyo sio sawa
Yaani Padre Kitima aliendelea kutandika pombe kuanzia saa moja hadi saa nne.na robo usiku
Sadaka za wakatoliki zinabomolewa hasa.
Hongereni wakatoliki watoa sadaka
Hiyo statement haijatoka bahati. Wao wamelenga kumwaibisha, wakati wenye akili mpaka hapo tunakuwa tumeelewa nani kahusikaIssue ni kunywa au issue ni kushambuliwa akiwa eneo la makaazi yao?
Hivi aliyetoa ile statement ana weredi?
Asingekubaliana nazo. Lkn kwakuwa ubongo wake kisayansi ulishachoka anajiona ni kijana mwenye nguvu na uwezo wa kuyatekeleza maagizo ya hovyo.muliro yuko vizuri kichwani tatizo amri anazopewa usijekuta ndo za hovyo
Soma tena taarifa ametajwa kwa majina matatu. Kwani wamesema bar au canteen? Acheni kukurupuka someni taarifa vizuri.Mnaona mkitaja kinywaji ndio mtapata kichaka cha kijifichia? Huyo aliyekamatwa alipaswa kutajwa kwa majina matatu na namba yake ya NIDA? Askofu Pisa ametoa taarifa maeneo hayo hayana bar. Huu mchezo wa kutoa taarifa za uongo huwa mnazitumia sana kwa cdm, lakini sasa utafika mwisho.
calm down ndugu mporomosha matusiQmmmko
Ngoja tuone mwisho wa hili sakata!Ahsante kwa taarifa mumshikilie mpaka nije.
Waalifu wote picha zao mnaonesha….. huyu alieshikiliwa imekuaje?MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma
akikataa utamlisha weweAsingekubaliana nazo. Lkn kwakuwa ubongo wake kisayansi ulishachoka anajiona ni kijana mwenye nguvu na uwezo wa kuyatekeleza maagizo ya hovyo.
wabongo wana akili mbovu sana,Kinywaji ni Pombe?
Peleka uduwanzi mbali, taarifa gani ya kusoma vizuri hapo we boya @ ni jina la mtanzania gani?Soma tena taarifa ametajwa kwa majina matatu. Kwani wamesema bar au canteen? Acheni kukurupuka someni taarifa vizuri.
Ccm ilishakufa zamani kilichobaki ni kikundi cha wahuni kutumia umafia vyombo vya dola kufanya uharilifu wao kuongoza nchiHiyo statement haijatoka bahati. Wao wamelenga kumwaibisha, wakati wenye akili mpaka hapo tunakuwa tumeelewa nani kahusika
Hakika kabisa, Ccm na polisiuvccm wao waongo, hawana utu na hawatumii vizuri akili zao,Mnaona mkitaja kinywaji ndio mtapata kichaka cha kijifichia? Huyo aliyekamatwa alipaswa kutajwa kwa majina matatu na namba yake ya NIDA? Askofu Pisa ametoa taarifa maeneo hayo hayana bar. Huu mchezo wa kutoa taarifa za uongo huwa mnazitumia sana kwa cdm, lakini sasa utafika mwisho.
Polisi wasiwe wanaonea watu.Huyo mtu alishikwa amsshikiliwa kimakosa.Haya yanayotendeka leo ni maagizo kutoka juu.Wale wote wanaoshambulia na kukosoa serikali ya Samiah watakiona cha mtema kuni bila kujali hadhi zao na majukumu yao kwa jamii.MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma
Wolfgang Pisa Baba AskofuNaamini Kuna CCTV camera hapo TEC.
Rais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa.Hakika kabisa, Ccm na polisiuvccm wao waongo, hawana utu na hawatumii vizuri akili zao,
Waweke na kitambulisho chake kikamilifu, ni mkaazi wa mitaa ipi, anafanya shughuli zipi.
Utawala huu ukianguka, upo umuhimu jeshi la polisi na usalama kufumuliwa upyaRais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa.
"Hakuna baa katika eneo aliloshambuliwa Fr.Kitima na hivyo hakuwa anapata kinywaji kama inavyoelezwa. Pale ni mgahawani. Kusema mtu alikua anakunywa saa zote hizo si kweli. Tunaandaa taarifa kamili, tutaitia itakapokua tayari" Amesema Askofu Pisa.
#MyTake:
Ikiwa haya aliyoyasema Baba Askofu Pisa ni ya kweli, ina maana Polisi wamedanganya. Sasa je wamedanganya kwa faida ya nani? Na kwa lengo gani? Hivi Muliro anaijua Novena Mtakatifu Ritha wa Kashi kweli?