Kinachowapa jeuri ya kumsimanga ni ule uthibitisho (mimba)
Kama uzinzi mbona wengi wanafanya kila haijulikani?
Una udhuru gani wa kumsimanga mwenzio kwa kilekile unachofanya?

Jiulize kwann wajane hawasemwi........hatuwasemi ila kwa sisi Waafrica mtoto wa kike kuzaa kabla ya ndoa inahesabika kama ni kukosa maadili we jiulize ni kwann kumekuwa na ongezeko la ma single mother now days ni lazima hili likemewe ili mmbadilike

Ulishawahi kujiuliza ni madhara gani wanapata watoto wanaolelewa na mzazi mmoja ( kisaikolojia) tujaribu kurudi kwenye misingi ya tamaduni zetu now days imekuwa ni fasheni sasa

Na sisi wanaume tuwe na tabia za kiume si masingle mother wote walipenda wengine wamesababishiwa na ma boyfriend zao mtoto wa kiume unakubalije kuwa sperm donor una enjoy kabisa kulelewa mwanao na wakwe zako huu ni ujinga

Nyie wanawake msiji rahisishe na sisi wanaume tuwe na hulka ya kiume unapomtia mimba mtoto wa watu pambana kwa ajili ya mwanao
......upuuuzi tu wa pande zote mbili....
 
Nakwambia !!
Humu JF nimegumdua kuna vivulana vilivyotoka chuo.

Ajira hakuna as you know now days.
Sasa anaishi kwa shemeji akisubilia wali maharagwe. Siku shemeji akifurahi anampa Buku ya Vocha.

Anachowaza ni kuanzisha thread ya Singo Maza Singo Maza Singo Maza.
So these kind of people cannot stop no matter how you try to educate them.
Muulize amelelwa na nani Atajibu Mama alikimbiwagwa na Baba kabla hata sijajifajamu akawa anatembeza mihogo mitaani nikasoma!

Laiti wangejua neno Single mother ni pana sana. Na kama lengo kuhasa Single Mother why wasianzishe na threads za kuwalaumu Single father si ni sawa?.Na yeye hazini Na Kagirlfriend?kakipata mimba Na huku anaishi kwa Shem automatically Girlfriend wake atakuwa Single Maza.

Atamkimbia huyo Dada ataamua kulea mtoto peke ake kwa kupambana.Hapa tena anakuja kumponda. What the hell is this shit!!

Vitoto hivyo havijielewi.
Tuvisamehe.
 
Single Mama Popote ulipo chukua Soda Kunywa ntalipa ata sisi wengine tumelelewa na hao hao Single mama na tulikuwa watoto bora sana na tunaishi na watu vizuri natuna tabia njema kuliko waliolelewa na baba na mama mimi sioni shida kwa mtu kua single mama kwani kuna sababu nyingi zinapelekea hivyo
 
mtu kusema kuwa haoi single mother ni kosa??
 
ni kuwakemea mpaka wajirekebishe, mwanamke kuzaa zaa kama mbwa haifai hata wazazi hawapendi
 
kiukweli kuoa single mother ni kuvaa bomu na kujitoa muhanga, complications nyingi sana,hata wazazi hawapendi watoto wao waoe single mothers
 
si kweli,mtafute single mother yoyote muulize mlikubaliana mzae?? angalia jibu atakalokupa
 
si kweli,mtafute single mother yoyote muulize mlikubaliana mzae?? angalia jibu atakalokupa
Kwani mwenye uwezo wa kucontrol uzazi ni mwanamke peke yake?

Wewe unayeingia pale kwa gear ya kupiga ww ndiye unatakiwa kuwa controller.

Hamjakubaliana kuzaa sawa,alafu ww unafanya ngono bila condom,manake si uko tayari kuwajibika na kitendo kile ulichokifanya.
 
point ni kwamba hakuna makubaliano
 
Single Mothers Watasewa ili liwe fundisho Kwa Upcoming Waache kuuza Mechi Kiboya
 
Kuoa single mother ni sawa na kucheza forex au kweny kubeti uzipe timu zenye odd kubwa
 
Ivi mzazi mzazi atakubali mwanae aitwe single maza kweli ebu tuwe wakweli kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…