CHADEMA haikushiriki kwenye kikosi kazi
 
Huu utaratibu unafaa nchi Kama Kenya sio Tanzania ya Msajili kumuondoa Mbatia NCCR.

Kuna kitanzi kinataka kuning'ing'izwa hapo ili jamaa waende na maji.😁.

"Msajili wa vyama aandae muongozo wa chaguzi za ndani za vyama vya siasa".
 
Isiwe lazima mgombea nafasi ya kazi za uraisi,ubunge,udiwani na mwenyekiti wa mtaa kupitia vyama vya siasa.Ukijumlisha wananchi wote wanaojiandikisha kupiga kura ni asili mia ndogo ndio wanachama wa vyama vya siasa.Kihesabu kumyima mgombea binafsi siyo sahihii.
Michakato ya mabolesho ya katiba iwe na time frame.
Bila time frame ni sawa sawa na hakuna.
Kwani JK alikuja na hizi swaga za amsha popo,kuunda Tume ya Jaji Warioba, ikafanya kazi nzuri,lakini matokeo yake mchakato ukaingiliwa dudumizi,na hadi leo hatuna katiba mpya japo ilitumia pesa nyingi za walipa kodi.
Tatu yapo baadhi ya mambo mazuri kwenye katiba ya Kenya haswa Supreme Court, Tume za Uchaguzi,Mawaziri kutokuwa wabunge na wabunge kuwafanyia vetting mawaziri wateuliwa.Mama Samia yafanyie kazi.
Hakuna kitu kinaniudhi kama kupita bila kupingwa.
Mwisho kila raia mwenye sifa za kupiga kura iwe lazima kupiga kura,Switzerland wana sheria hiyo.Tumechoka kuona watu wanalalamikia kiongozi ambae wengi wao hawakwenda kupiga kura.
 

CHADEMA sijui wamerogwa na Nani wamekubali kuingia kingi kirais Sana. Rais anawatuliza wanyamaze mpaka 2025 awageuke. Mwenzao anatembea nchi nzima halafu wao anawambia wanyamaze mmpaka maridhianao yaishe. Wajifunze kwa Odinga, unaingiaje maridhiano na adui yako bila kupima?.
 
Umeshaambiwa hii sio amri kwa serikali !!;
 
Sasa wewe huoni ccm hiyo hiyo inatumia udhaifu wa Katiba iliyopo, kuendelea kukaa madarakani!

Unategemea tungekuwa na Katiba bora, mpaka leo hii Tanzania ingekuwa ni nchi ya watu wachache wanao faidi keki ya Taifa?
Tukiitoa ccm tunaingiza chama gani ikulu!?
 
Upo sahihi sana sana.

Yaani kinachofanyika sasa ni kuigiza kana kwamba tunakwenda sawa kumbe hakuna kitakachofanyika
 
Unataka ccm itoke Kisha chama gani kishike haramu!?..una uhakika kitakua Bora kuliko ccm,kivipi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…