mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Huyo Assadi ni wa kupuuza tu, anatetea kwa sababu rais ni Mzanzibari mwenzake.
Ndiyo aina ya profesa tulio nao, upuuzi mtupu.
Ndiyo aina ya profesa tulio nao, upuuzi mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo tabia yao mwanzo walikuwa wanamsifia sana mpaka kumuonea huruma katolewa u cag walimuona kicha cha maana leo hii watakuja na stori nyingine ya kumponda CHADEMA akili zao wanazijuwa wenyewe tu wanazo za kuvukia barabara tu mengine wawaachie wenye akili timamuSasa makamanda uchwara akina Erythrocyte wataanza kumchukia huyu jamaa🤣
Maghufuli alikuwa sahihi kumfukuza kazi huyu mhuniPoints Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.
View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Prof. Assad: Kuongeza kodi hakusaidii pato la Nchi
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema Nchi zilizofanikiwa sio ambazo zilifanikiwa kuongeza kodi.
Akizungumza katika mahojiano na Channel Ten, Profesa Assad amesema “Kwa mfano kiwango cha Kodi ya Kampuni Nchini ni 30%, hicho ni kiwango kikubwa sana, Taifa kama Ireland ni moja ya Nchi zilizovutia wawekezaji wengi Ulaya, kiwango chao cha Kodi ni 18%.”
Ameongeza kuwa haungi mkono kupanda kwa kodi kwa kuwa ikishushwa makusanyo yake yatapanda na kusaidia Nchi.
Prof. Assad: Mamlaka zishiriki kukuza wafanyabiashara wadogo sio kusubiri mpaka wakue
“Tuwafundishe watu umuhimu wa uwekaji wa hesabu za fedha, si kwa sababu ya kukusanya kodi, akiweka hesabu zake vizuri miaka mitano sita atahitaji mkopo wa benki, baada ya hapo atakata leseni na tutatoa kodi kidogokidogo,” - Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (#CAG), Profesa Mussa Assad.
PROF. ASSAD: MKATABA WA BANDARI UNAHUSU HAKI ZA ARDHI SIO UMILIKI
Akitoa maoni kuhusu uwekezaji wa DP World katika Bandari, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (#CAG), Profesa Mussa Assad amesema tatizo ni dhana ambazo si nzuri kufikiri kuwa wawekezaji watafanya vitu ambavyo havifai pamoja na watu ambao sio wataalam husika kulisemea jambo hilo.
Akizungumza katika mahojiano na Channel Ten, amesema “Kuna wataalam wa uwekezaji wakiwemo Wanasheria wa Uwekezaji japo ni wachache lakini sisi tunawasikiliza Wanasheria wa Kodi, Wanasheria za Familia, Wanasheria wa mambo ya kampuni ambao ndio wameingia katika maeneo ambayo hayana tija na kusababisha dhana mbaya.”
Ameongeza “Watu wengi si wataalam wa uwekezaji, kipengele kinachozungumziwa katika mkataba ni Haki za Ardhi, sio umiliki, wanachomaanisha ni haki ya utumiaji lakini mmiliki ataendelea kubaki Shirika la Bandari, kuhusu suala la ukomo wanaweza kuweka hata miaka 25 au 30 basi ili watu wakafurahi.”
mmeanza kumgeuka kwa kusema ukweli mytaanza kumponda sasahivi nyie watu tulkieni dawa iwaingie msikurupuke hovyoTuna nchi ya ajabu sana na wasomi wetu ni wa ajabu
Kwa nini wasomi wetu hawaheshimiani?
Mtu aliyesoma uchumj, badala azungumzie uchumi, unakuta ndio kwaanza ametoka na misuri ya shingo anaongelea mambo ya kisheria, kitu ambacho si sawa
Unamkuta mtu aliyesomea Sheria, anekalia kuzungumzia mambo ya uchumi akiwaaminisha wananchi kwamba, wamsikilize? Stupid!
Na ndiyo maana hata kwenye kuandaa mawaziri mbalimbali, kinachokuwa kinazingatiwa, ni Professional zao na siyo blablaa!
Tunakwama wapi kuheshimu fani za wengine?
Hi la juzi kwa Msomi nguli wa uchumi Prf Hasadi kuhitimisha eti wanasheria wamepotoka, mandate hiyo aliitoa wapi?
Yeye ni nani katika fani ya sheria?
Tafuta kazi za Prof.Issa Shivji kuhusu masuala ya ardhi, na haki ardhi nchini.Unajua kwanini shivji hajawahi kupewa nafasi yeyote serikalini ya uongozi tangu baba wa taifa mpaka anastaafu utawala wa kikwete alikua mwalimu tu?
Ni mtanzania mwenye uzoefu wa uhasibu katika taasisi zetu, tena wa kutosha tu.Tuna nchi ya ajabu sana na wasomi wetu ni wa ajabu
Kwa nini wasomi wetu hawaheshimiani?
Mtu aliyesoma uchumj, badala azungumzie uchumi, unakuta ndio kwaanza ametoka na misuri ya shingo anaongelea mambo ya kisheria, kitu ambacho si sawa
Unamkuta mtu aliyesomea Sheria, anekalia kuzungumzia mambo ya uchumi akiwaaminisha wananchi kwamba, wamsikilize? Stupid!
Na ndiyo maana hata kwenye kuandaa mawaziri mbalimbali, kinachokuwa kinazingatiwa, ni Professional zao na siyo blablaa!
Tunakwama wapi kuheshimu fani za wengine?
Hi la juzi kwa Msomi nguli wa uchumi Prf Hasadi kuhitimisha eti wanasheria wamepotoka, mandate hiyo aliitoa wapi?
Yeye ni nani katika fani ya sheria?
Huyu jamaa ni mdini hata hajitambui! Heti kwa vile waarabu ni waislamu wenzake! Maisha mtaani yakikaza na yeye yumo! IGA ni mkataba mama!Mkataba wa TPA na DP World uko wazi kabisa na wala hauhitaji mtaalamu wa sheria kuufafanua
Huyo Alhaj Prof Assad apingwe kwa hoja na siyo taaluma yake!
Nawatakia Siku njema!
Wewe unayeamini Waarabu ni Waislam ndio mjinga 😂😂Huyu jamaa ni mdini hata hajitambui! Heti kwa vile waarabu ni waislamu wenzake! Maisha mtaani yakikaza na yeye yumo! IGA ni mkataba mama! Contracts zitakazosainiwa habibu rejea ni IGA! IGA kama ni kandamizi hakuna jinsi ya kunyoosha maelezo kwenye mikataba inayofuatwa! Wajinga nyie kadanganyane kwenye vijiwe vyenu vya kahawa!
Kweli sasa tumeanza kukubali nguvu ya SerkaliMkataba wa TPA na DP World uko wazi kabisa na wala hauhitaji mtaalamu wa sheria kuufafanua
Huyo Alhaj Prof Assad apingwe kwa hoja na siyo taaluma yake!
Nawatakia Siku njema!
Achana nae hotuba ya MBOWE MLUTHERAN hajaona udini paleHili swala mshaligeuza la dini tena ?? 🚮🚮
Wee"POPOMA" toka Lumumba hoja ya DP world since day one ni hoja za kisheria kutokana na ukakasi wa baadhi ya articles!! Hakuna anaepinga uwekezaji!! Posho za elf saba zimewahatibu akili kbs.Tuache wataalamu wa uchumi na uwekezaji watuelemishe faida za kiuchumi na uwekezaji kutokana na uwekezaji wa bandari. Tukiacha Kila mtu akawa mchambuzi wa uchumi itakuwa haina maana kuwa na wachumi.
Iko hivi, ukiwa na njaa tu unatafuta cha kukupa attention Kwa WAKUU, basi maisha yanakua rahisiTuna nchi ya ajabu sana na wasomi wetu ni wa ajabu...
Hizo nafasi mbona hata professor lipumba na wakina lissu wamezifanya sana. Nazungumzia teuzi nafasi kama nafasi hujaelewa nini hapo?..tafuta kazi za Prof.Issa Shivji kuhusu masuala ya ardhi, na haki .
Huyo ni professor. Unajua maana ya professUchumi na uhasibu ni mambo mawili tofauti
tukijuwa tu ukweli mchungu sasa maprof. wanaanza kuwaambia ukweli mnakuja juu?Maghufuli alikuwa sahihi kumfukuza kazi huyu mhuni
Hizo nafasi mbona hata professor lipumba na wakina lissu wamezifanya sana. Nazungumzia teuzi nafasi kama nafasi hujaelewa nini hapo?