We shughulika na hoja za Assad, achana na comment ya mtoa mada. Kama shivji siyo mchumia tumbo kwako bali assad, basi kwa wengine assad ni shujaa na huyo shivji wako ni mchumia tumbo tuYaani kusema tu shivji ni mchumia tumbo nimekuona TAKATAKA.
NA SINA HAJA YA KUENDELEA KUSOMA TAKATAKA ZAKO.
Aisee umeongea lijambo likuuuubwa kwa uchache sana ndg....nimependa hii, hatz hujamaliza pumzi zako.Hii bandari unaisapoti au kuipinga tokana na Mungu wa jamii gani unayemuabudu 🤣
Ndo keshaongea sasa na watanzania tunaendelea kumuelewa! Mnasemaje?!!!!!! Shivj ni nani kwetu watanzania?!!!With due respect Prof atulie!...Angle hii sio yake!
Shivji kashaongea..
Dah, mkuu we ni mkubwa kinondo humu kuliko hivi..........unatuangusha!!!!Maana yake ni moja tu inatolewa bure...
Tibaijuka kasomea sheria lini ??Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.
Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Hakuna mwanaCCM anaepinga uwwkezaji wa bandariii. Ukiona anapinga wewe tambua huyo atakuwa nyumbuu. Uwekezaji huu wa bandariii ni tunu kubwa kwa taifa, halafu unasema kuna mwanaCCM eti kaona fedhehaaa??Wala siyo Chadema peke yao, hata sisi CCM Chama kubwa kwa kweli hili suala la bandari linatufedhehesha sana. Halifai na hatulitaki sema tu ni uchama chama unatusimbua.
Kama Zanzibar tulivyoingizwa kwenye mkataba wa Muungano, Leo Tunaekewa Rais na Baraza la uwakilishi na Tanganyika. Mkuki kwa nguruwe tuKwahiyo tulipata uhuru tukiwa hatuwezi kujiendesha wenyewe sasa tumewapata watu wenye akili watulee!
Huu ni ujinga, miaka yote tumeshindwa kusomesha watu wetu leo tuwe vibarua wa wageni na tunalichekelea jambo hilo!
Tutakuja ingia mkataba na waarabu watuendeshee bunge letu maana nalo limetushinda tunaliendesha kama wafugaji wako mnadani.
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
[emoji1485] Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
[emoji1485] Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.
View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
He is a former CAG looking for a spot light! He is just another opportunist .Ofisi ya CAG ina wataalamu wa fani mbalimbali na yeye kama yeye analetewa taarifa na wafanyakazi wa chini yake. Huyo yeye kama yeye hawezi kuingia ofisi zote kukagua
Kuitwa profesa si kwamba unajua au kuwezaPoints Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.
View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Kwani kila anachoongea Shivji kinakuwa sahihi ? Mbona kwenye sakta la Muungano kajikanyaga ,? Mara aongee hichi mara aongee kile?With due respect Prof atulie!...Angle hii sio yake!
Shivji kashaongea..
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
[emoji1485] Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
[emoji1485] Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.
View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Mnamuamini Sana Shivji kuwa siyo mchumia tumbo ila kumbukeni amesavaivu tawala zote akiwa mtumishi wa umma kuanzia nyerere hadi jiwe(from entrance to retirement), kuanzia maujamaa ya nyerere, mavita ya Uganda hadi nchi kufilisika, ubinafsishaji wa mkapa, nk! Waliokosoa serikali kweli kweli waliondolewa pale yuudii kwa zengwe au directlyYaani kusema tu shivji ni mchumia tumbo nimekuona TAKATAKA.
NA SINA HAJA YA KUENDELEA KUSOMA TAKATAKA ZAKO.
Maadam mmeligeuza suala la DpWorid kuwa ni la kidini basi muda si mrefu mtagawana fito za nchi yenu!! Nchi hii ndiko inakoelekea.Na huu mkataba kwa sehemu kubwa wanaoupinga ni Wakristo na ndio waliofungua ht kesi kule Mbeya.
Huku Waislam nao wanaunga mkono na kuna mawakili waislam wanataka kufungua kesi...
Wakikujibu uni-tadKwani kila anachoongea Shivji kinakuwa sahihi ? Mbona kwenye sakta la Muungano kajikanyaga ,? Mara aongee hichi mara aongee kile?
Profesa ni vyema ayaseme yeye, sisi hapa tumewaelimisha sana kwenye hilo, wanjifanya wametia loki.Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)
👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)
Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.
View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Basi wewe ndio unajua kila kitu yeye hajuikwani ndio msahafu kuwa ukiwa mkaguzi ndio unajua kila kitu, ona sasa alivyojiweka uchi kumbe kichwani ni mgonjwa, mfundisheni sio kila kitu lazima uongee, vingine vina mipaka, waache wengine pia waseme. hata TLS waliandika yeye anakwenda kichwa kichwa kwenye media,
Acha porojo zako onyesha wapi Shivji alipokosea kuhusu hoja ya bandari na pia hoja ya Muungano . He has always been consistent.Wakikujibu uni-tad