comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Shivji nu human right (ardhi) lawyer kwa hiyo kwenye IGA ni mweupe kabisaMambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.
Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?