Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Watakuelewa.....Kaona Dr. Dau kavutwa, kaona isiwe tabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuelewa.....Kaona Dr. Dau kavutwa, kaona isiwe tabu
Kama tangu baba wa taifa ni rais mpaka kikwete hakuna aliemuona kuwa anafaa hata kuwa mwanasheria mkuu wa serikali basi hatufai huyo...sio sahihi kupima weledi na utendaji wa Prof.Shivji kwa...
Kama tangu baba wa taifa ni rais mpaka kikwete hakuna aliemuona kuwa anafaa hata kuwa mwanasheria mkuu wa serikali basi hatufai huyo. Kiongozi huonekana mapema sana kwakifupi shivji abaki kwenye level yake huko juu hawezi.
Mzee anataka kurudi kwenye sisitimu amechoka kukaa njePoints Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu...
Kwahiyo unajikata kichwa au sio, kule kwenye mkataba hukuona lakes? Na special economic zones? Acha ujinga ww huo mkataba sio dar tu na maziwa makuu na hizo economic zones zote zinatakiwa kuwa surrendered kwa dp worldKuna watanzania wanaamini Nyerere aliepelekwa kutibiwa ulaya akiwa kwenye stage 4 ya leukaemia. Stage ambayo it’s an open secret siku zako za kuishi zinahesabika, wao bado wanaamini kifo chake kilikuwa kina foul play..
Ndiyo Profesa mnaosema alionewa kuondolewaPoints Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi...
Hayo maelezo sema umeyatoa kwa Lissu au Mwakabusi, ila hayapo kwenye mkataba uliopo kwenye public domain na watu wengi wameusoma.Kwhyo unajikata kichwa au sio, kule kwenye mkataba hukuona lakes? Na special economic zones? Acha ujinga ww huo mkataba sio dar tu na maziwa makuu na hizo economic zones zote zinatakiwa kuwa surrendered kwa dp world
Prof Shivji ndio MWAMBA WA WOTE HAO, Kama umeanza kumfuatilia sasa hivi sawa, embu katafute maandiko yake utoe tongotongo.Shvji ni mtaalamu wa Sheria za ndoa sio Sheria za mikataba ya kimataifa.
Kwa angle hiyo anaweza kuzidiwa hata na mchumi maana nae anakua na subject za Sheria kwenye kozi zake...
Na uchawachawa, ukiondoa hivi vitu viwili hili dude halifai kabisa.Wala siyo Chadema peke yao, hata sisi CCM Chama kubwa kwa kweli hili suala la bandari linatufedhehesha sana. Halifai na hatulitaki sema tu ni uchama chama unatusimbua.
Danganya totooo 😛😁😁 et wakifanya vizuri watapewa na hayo maeneo mengne, vipi na kule kuwataarifu any opportunities kwanza wao?Hayo maelezo sema umeyatoa kwa Lissu au Mwakabusi, ila hayapo kwenye mkataba uliopo kwenye public domain na watu wengi wameusoma...
Unajua kila anayetoa maoni anao upande aliochagua, kwa hiyo kila anayeunga mkono au kupinga inategemea amesimama katika upande upi, lakini katika yote hatuna sababu ya msingi ya kubinafsisha Bandari yetu kwa mkataba mbovu kiasi kile, kama uwekezaji bandarini umefanyika kwa kiasi kikubwa sana, tunapaswa kujua muwekezaji anakuja na nini cha ajabu, sio kupewa bure kabisa.Profesa Tibaijuka ambae si Mwanasheria alipoongea kwa kupinga vipengele vya sheria tulimuunga mkono kwa kuwa aliongea tuliyoyapenda kuyasiki...
Elewa kwamba teuzi nyingi kabla ya kuteuliwa ujulishwa kuona kama utaridhia. Shivji ni miongoni mwa watu walio taka kujikita kwenye fani yake tu. Yeye anajua ukikutana nae atakuelezea ni nafasi zipi hakuwahi kutaka kuzitumikia.Kama tangu baba wa taifa ni rais mpaka kikwete hakuna aliemuona kuwa anafaa hata kuwa mwanasheria mkuu wa serikali basi hatufai huyo.
Kiongozi huonekana mapema sana kwakifupi shivji abaki kwenye level yake huko juu hawezi.
Ndugu yangu Mimi ni mwanaccm kama wewe, tofauti yetu ni kuwa mimi sio chawa,Harafu wanatakiwa kujua itawapoteza,maana huwezi hubiri Ubaguzi wa dini,rangi na maeneo kwenye Nchi ya Nyerere ukaeleweka...
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi
👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu...
Hakuna sehemu IGA imeandika wakifanya vizuri watapewa hayo maeneo mengine au hata mimi kuandika hivyo; hayo umeyatoa kichwani kwako tu.Danganya totooo 😛😁😁 et wakifanya vizuri watapewa na hayo maeneo mengne, vipi na kule kuwataarifu any opportunities kwanza wao?? Kwamba sirikale haiwezi fanya chochte mpaka wao wawe informed??? Na hii bado ni phase one?