Una upimbi kwenye mambo ya dini/imani. Uislam kila siku hakuna hoja zingine? Hao marais waislam wamefanya nini tofauti na wengine zaidi ya kufanya utalii duniani.Hilo unalisema wewe. Hamna pakuhujumu zaidi ya maneno ya kijinga tu. Tunawafahamu, mlikuwa hivihivi wakati wa Mwinyi, mkayarudia tena wakati wa Kikwete na mtaendelea nayo kila ataposhika Muislam. Mwiso wa siku tukilinganisha tunaona kuwa hakuna viongozi bora wa nchi hii zaidi ya Waislaam.
Sasa siyo kazi ile ya ku i "promote" Tanzania? mnafikiri Urais ni kufoka-foka tu?Uko kuchapa kazi nyingi na kuingiza movie kupo
Kwamba imekuwa dharula usiku huu?
Kule marekani hakuweza kutofautisha galon na lita.Aliona bei ya mafuta marekani kwa galon akadhani ni per lita na hesabu za kukokotoa galon to lita hajui.Kwani kwa sasa tumeizidi Marekani kwa bei?
Anza wewe kuuza vitu vyako uvishushe bei, unangoja nini?kwamba ni mafuta tu vile yule mbunge alilalamika au kila kitu kimepanda.
Hata mahari imepandakwamba ni mafuta tu vile yule mbunge alilalamika au kila kitu kimepanda.
Wafanya biashara Hoyeeee !!!Ndiyo na wewe uwe mfanya biashara ushushe bei, fursa hiyo. Unangoja nini? Huelewi kuwa Tanzania tunafata mfumo wa biashara huru?
Soma ripoti ya CAG utamfahamu mchawi wako ni nani.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Huo ndio ukweli,Aroo poti
Kwa hiyo kutoa Kodi kwa hiari kuna husikaje na kutoza Kodi za dhuluma?Haikusanyi sababu mamako alishasema mtu akatoe kodi kwa hiari, yani ile kushurutisha mtu alipe kodi aliona kwamba ni dhuruma!
Wewe mwenyewe ni uchafu tu, maana kila siku uko hapa unasifia upumbavu!
Kwa sababu ya Putin kuvamia UkraineHata mahari imepanda
Utafikiri mchana hawakula huko kwenye uzinduzziWaafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Tuanzie kwa Mwinyi.Una upimbi kwenye mambo ya dini/imani. Uislam kila siku hakuna hoja zingine? Hao marais waislam wamefanya nini tofauti na wengine zaidi ya kufanya utalii duniani.
Mimi nashangaa sana, ukienda pale kariakoo hakuna mtu anajali risiti hata ukichukua mzigo wa milioni 10.Kweli kabisa !! Kwepa yao kodi Hao wakubwa sasa mzigo unamuangukia MTU wa chini !! Kila kitu bei juu !!
Unaelewa logic au unataka kubishana? Nakuelewesha mara ya mwisho,kwamba isingekuwa pressure hii ya mafuta,TRA walikuwa wanakusanya kama kawaida na walifikia malengo licha ya ukweli kwamba walitakiwa wavuke malengo ila wakaenda kawaida..Haikusanyi sababu mamako alishasema mtu akatoe kodi kwa hiari, yani ile kushurutisha mtu alipe kodi aliona kwamba ni dhuruma!
Wewe mwenyewe ni uchafu tu, maana kila siku uko hapa unasifia upumbavu!
Kaxi muhimu iliyobaki TRA ni kupika data.Kwa hiyo kutoa Kodi kwa hiari kuna husikaje na kutoza Kodi za dhuluma?
Utii wa sheria bila shuruti ni muhimu ila usipotii unashurutishwa ndicho nasema mimi,kwamba TRA wameshindwa kukusanya Kodi stahiki inavyotakikana kwa vyanzo hivi hivi vilivyopo achilia mbali vyanzo vipya..
Mwisho TRA kwa sasa wamekuwa wakivuka malengo licha kuzembea ila isingekuwa pressure hii ya bei ya mafuta wangeacha Bussiness as usual ila kwa sasa lazima wabadilike kulingana na prevailing situations kusudi wasiathiri utekelezaji wa bajeti ya serikali Kwa uzembe Kisa kisingizio cha kuondolewa au kupunguza kwa Kodi kwenye mafuta.👇
View attachment 2217619
View attachment 2217620
View attachment 2217621
View attachment 2217622
Tuanzie kwa Mwinyi.
Huelewi kwanini alipewa jina Rukhsa?
Tuje kwa Kikwete, huelewi kuwa ndiye aliyejenga mabarabara yote makubwa ya mikoani? Huelewi kuwa kabla ya kuja kwake ukitokea Dar kwenda Kagera au Mwanza ilikuwa mpaka upite Kenya kwanza?
Unaonesha u kijana mdogo sana na huelewi nchi hii imetokea wapi.