Kwa hiyo kutoa Kodi kwa hiari kuna husikaje na kutoza Kodi za dhuluma?
Utii wa sheria bila shuruti ni muhimu ila usipotii unashurutishwa ndicho nasema mimi,kwamba TRA wameshindwa kukusanya Kodi stahiki inavyotakikana kwa vyanzo hivi hivi vilivyopo achilia mbali vyanzo vipya..
Mwisho TRA kwa sasa wamekuwa wakivuka malengo licha kuzembea ila isingekuwa pressure hii ya bei ya mafuta wangeacha Bussiness as usual ila kwa sasa lazima wabadilike kulingana na prevailing situations kusudi wasiathiri utekelezaji wa bajeti ya serikali Kwa uzembe Kisa kisingizio cha kuondolewa au kupunguza kwa Kodi kwenye mafuta.👇
View attachment 2217619
View attachment 2217620
View attachment 2217621
View attachment 2217622