Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Hilo unalisema wewe. Hamna pakuhujumu zaidi ya maneno ya kijinga tu. Tunawafahamu, mlikuwa hivihivi wakati wa Mwinyi, mkayarudia tena wakati wa Kikwete na mtaendelea nayo kila ataposhika Muislam. Mwiso wa siku tukilinganisha tunaona kuwa hakuna viongozi bora wa nchi hii zaidi ya Waislaam.
Una upimbi kwenye mambo ya dini/imani. Uislam kila siku hakuna hoja zingine? Hao marais waislam wamefanya nini tofauti na wengine zaidi ya kufanya utalii duniani.
 
Kwani kwa sasa tumeizidi Marekani kwa bei?
Kule marekani hakuweza kutofautisha galon na lita.Aliona bei ya mafuta marekani kwa galon akadhani ni per lita na hesabu za kukokotoa galon to lita hajui.
Marekani wanauza kwa galon huko bongo kwa lita .
Yeye akamalizia kwa kusema mafuta marekani ni ghali.
 
Ndiyo na wewe uwe mfanya biashara ushushe bei, fursa hiyo. Unangoja nini? Huelewi kuwa Tanzania tunafata mfumo wa biashara huru?

Soma ripoti ya CAG utamfahamu mchawi wako ni nani.

Kazi ya Mungu haina makosa.
Wafanya biashara Hoyeeee !!!
 
Haikusanyi sababu mamako alishasema mtu akatoe kodi kwa hiari, yani ile kushurutisha mtu alipe kodi aliona kwamba ni dhuruma!

Wewe mwenyewe ni uchafu tu, maana kila siku uko hapa unasifia upumbavu!
Kwa hiyo kutoa Kodi kwa hiari kuna husikaje na kutoza Kodi za dhuluma?

Utii wa sheria bila shuruti ni muhimu ila usipotii unashurutishwa ndicho nasema mimi,kwamba TRA wameshindwa kukusanya Kodi stahiki inavyotakikana kwa vyanzo hivi hivi vilivyopo achilia mbali vyanzo vipya..

Mwisho TRA kwa sasa wamekuwa wakivuka malengo licha kuzembea ila isingekuwa pressure hii ya bei ya mafuta wangeacha Bussiness as usual ila kwa sasa lazima wabadilike kulingana na prevailing situations kusudi wasiathiri utekelezaji wa bajeti ya serikali Kwa uzembe Kisa kisingizio cha kuondolewa au kupunguza kwa Kodi kwenye mafuta.👇

Screenshot_20220406-164902.png

Screenshot_20220406-164945.png

Screenshot_20220406-164933.png

Screenshot_20220406-163449.png
 
Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Utafikiri mchana hawakula huko kwenye uzinduzzi
 
Una upimbi kwenye mambo ya dini/imani. Uislam kila siku hakuna hoja zingine? Hao marais waislam wamefanya nini tofauti na wengine zaidi ya kufanya utalii duniani.
Tuanzie kwa Mwinyi.

Huelewi kwanini alipewa jina Rukhsa?

Tuje kwa Kikwete, huelewi kuwa ndiye aliyejenga mabarabara yote makubwa ya mikoani? Huelewi kuwa kabla ya kuja kwake ukitokea Dar kwenda Kagera au Mwanza ilikuwa mpaka upite Kenya kwanza?

Unaonesha u kijana mdogo sana na huelewi nchi hii imetokea wapi.
 
Riziwani kikwete ni mmliki mkubwa wa shell za kuuzia mafuta hapo nchini. Na baadhibya shell zake zimekodishwa na Kampuni ya Puma. Mnatarajia mafuta yashuke bei?
 
Kweli kabisa !! Kwepa yao kodi Hao wakubwa sasa mzigo unamuangukia MTU wa chini !! Kila kitu bei juu !!
Mimi nashangaa sana, ukienda pale kariakoo hakuna mtu anajali risiti hata ukichukua mzigo wa milioni 10.

Huwezi kuwaambia wabongo walipe kodi kwa hiari alafu utegemee watalipa.

Matokeo yake ndio haya matozo kwenye simu na mafuta.

Ukiona kiongozi anabuni matozo ya hovyo kama haya ya kwenye simu ujue kashindwa kukusanya kodi kunakostahili
 
Haikusanyi sababu mamako alishasema mtu akatoe kodi kwa hiari, yani ile kushurutisha mtu alipe kodi aliona kwamba ni dhuruma!

Wewe mwenyewe ni uchafu tu, maana kila siku uko hapa unasifia upumbavu!
Unaelewa logic au unataka kubishana? Nakuelewesha mara ya mwisho,kwamba isingekuwa pressure hii ya mafuta,TRA walikuwa wanakusanya kama kawaida na walifikia malengo licha ya ukweli kwamba walitakiwa wavuke malengo ila wakaenda kawaida..

So serikali ikipunguza Kodi na tozo kwenye mafuta kutatokea budget deficit ambapo sasa TRA wanatakiwa wakaze zaidi huko kitaa Ili wasikwamishe utekelezaji wa bajeti kwa kisingizio cha kuondolewa au kupunguza excise duty kwenye mafuta Kwa sababu wanatakiwa nao wa act accordingly..

Usipoelewa na hili Baki na ujinga wako am tired 👇

Screenshot_20220406-163449.png

Screenshot_20220406-164902.png

Screenshot_20220406-164933.png

Screenshot_20220406-164945.png
 
K
Kwa hiyo kutoa Kodi kwa hiari kuna husikaje na kutoza Kodi za dhuluma?

Utii wa sheria bila shuruti ni muhimu ila usipotii unashurutishwa ndicho nasema mimi,kwamba TRA wameshindwa kukusanya Kodi stahiki inavyotakikana kwa vyanzo hivi hivi vilivyopo achilia mbali vyanzo vipya..

Mwisho TRA kwa sasa wamekuwa wakivuka malengo licha kuzembea ila isingekuwa pressure hii ya bei ya mafuta wangeacha Bussiness as usual ila kwa sasa lazima wabadilike kulingana na prevailing situations kusudi wasiathiri utekelezaji wa bajeti ya serikali Kwa uzembe Kisa kisingizio cha kuondolewa au kupunguza kwa Kodi kwenye mafuta.👇

View attachment 2217619

View attachment 2217620

View attachment 2217621

View attachment 2217622
Kaxi muhimu iliyobaki TRA ni kupika data.
 
Tuanzie kwa Mwinyi.

Huelewi kwanini alipewa jina Rukhsa?

Tuje kwa Kikwete, huelewi kuwa ndiye aliyejenga mabarabara yote makubwa ya mikoani? Huelewi kuwa kabla ya kuja kwake ukitokea Dar kwenda Kagera au Mwanza ilikuwa mpaka upite Kenya kwanza?

Unaonesha u kijana mdogo sana na huelewi nchi hii imetokea wapi.

Acha upumbavu wa kidini, hauna faida yoyote kwa taifa lisilo na dini. Kila kitu uislam uislam, huna mengine ya kuandika? Nyie ndio mkipewa nafasi ya kuongoza mtaleta upumbavu nchini.

Hoja ni mafuta, serikali ifanye nini kupunguza bei ya mafuta na kushusha inflation tunayoiona, ambayo inaathiri uchumi wa raia mmoja mmoja.. haya mambo yako ya mwinyi, kikwete na samia nakuachia wewe uliye mpumbavu wa kufikiri.

Hata hivyo, kuwa kwangu kijana(kama unavyodhani) hakuna mahusiano yoyote na uwezo wangu wa kuchanganua hoja.
 
Back
Top Bottom