sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Labda kesho anaenda royal tourSi bora wangesubiri kukuche tu maana sio ishu ya leo jana wala juzi, hizi gafla gafla sina imani kama zinakuja na majibu mazuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kesho anaenda royal tourSi bora wangesubiri kukuche tu maana sio ishu ya leo jana wala juzi, hizi gafla gafla sina imani kama zinakuja na majibu mazuri.
Ahakikishe na hizo hela zinachoenda kukifanya kinaonekana.Sasa kila siku wanaitana na wanaagizana harafu hawaji na majibu..
Yaani kila mtu anaogopa lawama..
Mimi nawapa ufumbuzi,punguza Kodi na tozo kwa sh 400 harafu gap la kufidia mapato,TRA iendeshwe oparesheni ya kuhakikisha kila muuzaji anatoa risiti na kila mnunuzi anachukua risiti..
Wasiofanya hivyo ni faini na kupiga mnada bidhaa zao, mapato yako mengi Sana kwenye Bar,Migahawa,Guest House,madukani nk..mfano kuna mauziano ya mali yanafanyika daily ila hakuna anaelipa Kodi .
Kuendelea kuchekea watu wasiowajibika ila waanadai haki itawatokea puani.
Sasa kila siku wanaitana na wanaagizana harafu hawaji na majibu..
Yaani kila mtu anaogopa lawama..
Mimi nawapa ufumbuzi,punguza Kodi na tozo kwa sh 400 harafu gap la kufidia mapato,TRA iendeshwe oparesheni ya kuhakikisha kila muuzaji anatoa risiti na kila mnunuzi anachukua risiti..
Wasiofanya hivyo ni faini na kupiga mnada bidhaa zao, mapato yako mengi Sana kwenye Bar,Migahawa,Guest House,madukani nk..mfano kuna mauziano ya mali yanafanyika daily ila hakuna anaelipa Kodi .
Kuendelea kuchekea watu wasiowajibika ila waanadai haki itawatokea puani.
Sawa, bei ya mafuta inaweza kushuka ( kama wataweza) Je, watashisha Bei za bidhaa mbali mbali ambazo zimeshapanda hadi wakati huu?
Pili, hao walioitwa kujadili tatizo ndio wanaojibu sisi hatuchimbi mafuta, mfumuko wa Bei au mafuta kupanda ni duniani kote, mbaya zaidi mmoja akasema mafuta kwetu Bei ni nafuu kuliko USA. Hapo kweli Kuna mjadala wenye tija au tutegemee tozo jipya?
Habari za eti kukulipa Kodi kwa hiari ni sawa ila waliohiari sasa ndio mziki,mtu aache kujitajirisha eti akalipe Kodi?Una akili kuliko mawaziri husika, this make sense
Kuitana ni lazima na hapo nadhani ni briefing kwa Rais Kwa sababu hicho kikao PM alikaa na Mawaziri husika..Wanajua kuongeza toto tu hawana jipya!! Kama ni maagizo kwani ilibidi waitwe usiku?
Kama mwigulu anahusika ufumbuzi hakuna!Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati ,January Makamba, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Siyo kawaida yako. Hongera.Sasa kila siku wanaitana na wanaagizana harafu hawaji na majibu..
Yaani kila mtu anaogopa lawama..
Mimi nawapa ufumbuzi,punguza Kodi na tozo kwa sh 400 harafu gap la kufidia mapato,TRA iendeshwe oparesheni ya kuhakikisha kila muuzaji anatoa risiti na kila mnunuzi anachukua risiti..
Wasiofanya hivyo ni faini na kupiga mnada bidhaa zao, mapato yako mengi Sana kwenye Bar,Migahawa,Guest House,madukani nk..mfano kuna mauziano ya mali yanafanyika daily ila hakuna anaelipa Kodi .
Kuendelea kuchekea watu wasiowajibika ila waanadai haki itawatokea puani.
Kwahiyo alilomuagiza Makamba ampe jibu siku ya Jumanne amefuta!Rais Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo Mei 8, 2022 Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati ,January Makamba, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
Mwananchi
ni mtu wa blaalbaa sanaKama mwigulu anahusika ufumbuzi hakuna!
Wanajua kuongeza toto tu hawana jipya!! Kama ni maagizo kwani ilibidi waitwe usiku?
Tutarajie kushuka kwa bei ya mafuta.
Yaah kabisa wangeweka pembeni huko pale ziwepo karatasi data kwa data.Waafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.