whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Dunia yote inasisitiza na kuweka mkazo katika kutoa Elimu juu ya uzazi wa mpango, huwezi ukawa na watoto wengi wakati hata kuwalea huwezi, kazi siyo kuzaa tu Bali lazima ufahamu kuwa mtoto akizaliwa anahitaji Mahitaji mengi Sana ambapo
kila Rais anakuja na yake atuna dira ya taifa ni vurugu tupu.Mbona mwendazake alitwambia TUFTATUE TU. Nini kimebadilika nchi hii?
Sera ya Nchi ni uzazi wa mpango sio ule uchaguzi wa Mwendazake..kila Rais anakuja na yake atuna dira ya taifa ni vurugu tupu.
Huyo anayempinga Samia umetumia kigezo gani kuwa ni msomi?.JPM alisema tuzaane tu 'wasomi ' wakamjia juu na umuhinu wa kizazi wa Mpango
Samia kasema tupunguze speed 'wasomi wetu' wamemjia juu na takwimu za umuhimu wa kuwa na watu wengi
Pohamba nikiwa Rais ntasema tuzaane sana japo tupunguze speed
Baba analipwa 500K kwa mwezi, mama analipwa 500K kwa mwezi kipato cha familia ni 1M, kama wana watoto 2 maana yake kipato cha kila mwanafamilia ni 250K... vipi kama wana watoto 8?
Waliompinga, uwezekano mkubwa ni watu wenye uelewa mdogo, nina hakika hawawezi kuwa wasomi.JPM alisema tuzaane tu 'wasomi ' wakamjia juu na umuhinu wa kizazi wa Mpango
Samia kasema tupunguze speed 'wasomi wetu' wamemjia juu na takwimu za umuhimu wa kuwa na watu wengi
Pohamba nikiwa Rais ntasema tuzaane sana japo tupunguze speed
Kwani wewe ukizaa na kuacha kuilalamikia serikali Kuna shida gani?
Kuwa na watu wengi kama wewe ni mzigo kwenye Nchi ndio maana Rais hawataki..
Ingekuwa ni Faidia mbona Leo Hii msiwe na uchumi mkubwa kuzidi Angola au Ghana zenye Watu wachache kama?
Kuna tabia miwatu imeanzisha,inaondoka na kifamilia yanazaana hovyo afu yanaenda mbali huko yanaamza kudai huduma, Nyerere alikomeshaga huu upuuzi wa kila mtu kuanzisha Vijiji vyenye Koo zinazofanana.