Ndio ni sahihi kabisa, kama Rais na mwenyekiti wa CCM ambaye alichafuliwa na gazeti kwanini asitumie huu wakati kusahihisha mambo?

Mama 2025
 
Ni zamu ya wanawake sasa; tuwaunge mkono; wanaume tumeongoza kwa miaka 60 inatosha. Ni zamu ya wanawake kuonesha mabadiliko ktk nchi yetu. Msiwaonee wivu na msilalamike
 
Ni sahihi tu; hata wewe ukiamua tangaza, hakuna haja ya kuwa mnafiki
 
Mwambieni mama hao wanawake ni wake zetu siku hiyo watabaki nyumbani kuhudumia familia
 
Wakati Rais akiwa na maongezi na mkuu wa wilaya ya Temeke, alitonya kwamba atagombea tena mwaka 2025; hiyo ni kuanza kujitanganza kuwa ni mgombea wa 2025. Ili kuwa na haki kwa wagombea wa vyama vyote, inabidi nao waruhusiwea kuanza kujitangaza.
 
Wakati Rais akiwa na maongezi na mkuu wa wilaya ya temeke, alitonya kwamba atagombea tena mwaka 2025; hiyo ni kuanza kujitanganza kuwa ni mgombea wa 2025. Ili kuwa na haki kwa wagombea wa vyama vyote, inabidi nao waruhusiwea kuanza kujitangaza.
Vyama vya upinzani bongo vipo tu kwa ajili ya kuifanya serikali ionekane ya kidemokrasia, lakini zaidi ya hapo, hii ni nchi ya chama kimoja.
 
Vyama vya upinzani bongo vipi tu kwa ajili ya kuifanya serikali ionekane ya kidemikrasia, lakini zaidi ya hapo, hii ni nchi ya chama kimoja.
Ni kweli Mkuu, hatuna mbadala wa CCM kwa sasa, wapinzani JPM aliwaexpose kabisa udhaifu wao, kama kuna watu wangeacha uoga ile 2015 CCM leo ingekuwa historia
 
Ni kweli Mkuu, hatuna mbadala wa CCM kwa sasa, wapinzani JPM aliwaexpose kabisa udhaifu wao, kama kuna watu wangeacha uoga ile 2015 CCM leo ingekuwa historia
Tatizo ni kuwa Lowasa alikuwa mamluki
Lakini angetangaza watu kuaandamana haelewi yale matokeo uwezo wa kuandamana watu walikuwa nao kwa wakati ule

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wakati Rais akiwa na maongezi na mkuu wa wilaya ya Temeke, alitonya kwamba atagombea tena mwaka 2025; hiyo ni kuanza kujitanganza kuwa ni mgombea wa 2025. Ili kuwa na haki kwa wagombea wa vyama vyote, inabidi nao waruhusiwea kuanza kujitangaza.
Waruhusiwe, na nani? Kwani CCM wameruhusiwa? 😄😄 Ujinga ni kufuata sheria au utaratibu dhidi ya asiyefuata utaratibu ai sheria. Kimsingi, sio ujinga tu, bali ni Upopoma kabisa
 
Vyama vya upinzani bongo vipo tu kwa ajili ya kuifanya serikali ionekane ya kidemokrasia, lakini zaidi ya hapo, hii ni nchi ya chama kimoja.
Umenyoosha sana mkuu. Huu ndio ukweriii japo wengi hawapendi kuusikia, nchi ya chama kimoja tu. Kama mbeleni kutakuwa na mabadiliko ya kiuongozi nchi hii, hayatatokana na vyama vya siasa.
 
Katiba inahitajika na Ni muhimu Sana kwa umoja na ustawi wa taifa letu.
 
Ni kweli Mkuu, hatuna mbadala wa CCM kwa sasa, wapinzani JPM aliwaexpose kabisa udhaifu wao, kama kuna watu wangeacha uoga ile 2015 CCM leo ingekuwa historia
Mmmmm Uoga sio!hopes mchangiaji mwenzangu ulijaribu to show the way!!
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Kwanini Beatrice Kamugisha unamchukia mwanamke mwenzio kiasi hiki?
 
Mkiambiwa hawa viumbe sikuhizi ni damu ya tofauti na mama zetu hawanaga shukurani hamuamini.

Wao kuwa hapo ni huruma na ruhusa ya jamii halafu wanaanza maneno ya kebehi na dharau. Mimi upuuzi wa maswala ya fursa sawa za kijinsia sitaki hata kuusikia maana umeleta madhara makubwa kuliko faida.
 
Ni zamu ya wanawake sasa; tuwaunge mkono; wanaume tumeongoza kwa miaka 60 inatosha. Ni zamu ya wanawake kuonesha mabadiliko ktk nchi yetu. Msiwaonee wivu na msilalamike
Akili za kike hizo. Mwanaume unakuwaje na pigo za kimdundiko hivi .... Nyie ndio mnatuletea hii misotojo ya kiwaki hii .......
 
Nchi hii ni ya hovyohovyo tu ie mtu unapigana huku mpinzani wako umemfunga mikono alafu unashangilia ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…