Vip makonda anakukaza?Mbona mnawaza saana huyu mtu anaitwa makonda?
Alishawalaza vichocholoni kisha akaondoka bika kuwalipa pesa?
Na kama mnampenda kwa sasa sio maana ana mke wake tayari.
Makonda kakaa kimya nyie kika siku makonda, subilini akiwa ameongea kitu ndo mmshambulie.
Kama kakaa kimya na nyie kaeni kimya.
Chalamila poyoyo tuu yule hakua na lolote zaidi ya porojo tuu.....labda HappyMakonda, Mnyeti, Jerry Muro, Olesabya, Ally Hapi na Chalamila ni group moja
MAKONDA KAWEKEZA HATA KWENYE AWAMU YA SITA. KUNA CLIP ZILIKUA ZINATEMBEA ZIKIMUONYESHA MAKONDA WAKATI WA BUNGE LA KATIBA AKIWAOMBA WATAKAOCHAGULIWA KUGOMBEA URAIS WASIMSAHAU MAMA KWA KAZI NZURI ALIYOFANYA KULIENDESHA BUNGE LA KATIBA KAMA MAKAMU WA MWENYEKITI.Binafsi nashangaa ni kwanini hadi leo hii Rais ( Mama ) Samia Suluhu Hassan hajaamuru huyu Moron, Crook and Hellacious Paul Christian Makonda hajakamatwa na kuanza Kuchunguzwa na Dhambi nyingi, kubwa na mbaya alizozifanya ( hasa alipokuwa Dar RC )
Hukumu pekee inayomfaa huyu ( Paul Christian Makonda ) ambayo GENTAMYCINE nataka Kuisikia ikimpata tu ni ama afungwe Maisha Jela au ahukumiwe Kunyongwa.
Sabaya ni Papa Makonda ni Nyangumi.
Gelasius Byakanwa, aliyekuwa RC MtwaraMakonda, Mnyeti, Jerry Muro, Olesabya, Ally Hapi na Chalamila ni group moja
Nukuulize wewe uliepasuliwa malindaVip makonda anakukaza?
Haaaaa kumbe! Basi ashughulikiwe haraka sana kama waharifu wengineAlitamka Roma na Mo wakarudishwa kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa mkuu wa kikosi cha utekaji kilichoanzishwa na mwendazake kwa malengo maalumu.
Asa mkuu admin akikushughulikia kwa matusi haya utasema amekuonea?Nukuulize wewe uliepasuliwa malinda
Watu wamemnyamazia Makonda maana mama sio mchukua hatua serious, iwapo mama angekuwa mchukua hatua za ukweli dhidi bya waovu, saa hii shutuma zote za Makonda nazo zingewekwa hadharani.
shule ya msingi,nadhani darasa la 2 miaka ya 1979-85!Hii hadithi ipo kwenye kitabu cha zamani sana cha watoto...
Sikumbuki kinaitwaje!
Bashite bado anakula bata mtaani wakati mhujumu uchumi mwenzake ananyea debe huko Segerea.