Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,643
Vip makonda anakukaza?Mbona mnawaza saana huyu mtu anaitwa makonda?
Alishawalaza vichocholoni kisha akaondoka bika kuwalipa pesa?
Na kama mnampenda kwa sasa sio maana ana mke wake tayari.
Makonda kakaa kimya nyie kika siku makonda, subilini akiwa ameongea kitu ndo mmshambulie.
Kama kakaa kimya na nyie kaeni kimya.