Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

😎Huyu Vero sio Musiba kweli?
 
Bila picha mkuu ama ka-video basi
 
Ni Mtanzania kumbuka, ni kama ilivyo kwako, Kwa nini unadhani asifanye hivyo!!

Hata dhalimu Sabaya alijifanya kulia kwenye msiba wa dhalimu Mkuu, na kwenda kufanya kipindi cha kujisafisha hapo Clouds. Na huyo Makonda anajifanya Kuhani kaburi la dhalimu Mkuu, akidhani watu wanaogopa viongozi waouvu. Tuna ushahidi mwingi wa huyo dhalimu Makonda, tunataka tu uchanguzi dhidi yake uanze, ili akakae jela kama wale aliokuwa anawabambikizia kesi kipindi cha kiongozi muovu.
 
Unao ushahidi wa Makonda kua ndio kaanzisha hayo makundi kwenye mitandao ya kijamii? Au unataka tukuamini tuu?

Hii ni JF weka evidence tukusome.
 
Makonda akamatwe ajibu tuhuma zinazomkabili kwani wakati wa haki umefika.
 
Exactly Mkuu..
 

Unadhani hatujui Mbowe alikuwa anaongea nini kwenye hiki ulichosema hapa? Uchaguzi ule kwa sehemu kubwa ulinajisiwa na yule kiongozi muovu unayelinda kaburi lake huko porini.
 
... kama kuna binadamu ameishi kisanii na kwa kujipendekeza duniani na "ikamlipa" tangu akiwa mtoto mdogo basi ni Makonda. Kwa usanii nimemvulia kofia japo kwenye "makaratasi yake" hamna kitu!
Wafadhili wake wote huwa wanakufa:
Alianza Samwel Sita
Sasa John Pombe.
 
Acha uongo. Msikilize Mama hapa chini
View attachment 1809459
Mama alichokiongea hakiusiani na hoja ya Mtoa mada, alisema ikawa, ila sio kigezo chake kutotenda haki ,that's anasema watu wakikuongelea vizuri unapokea Mara dufu , Sasa wapi MACKONDA anaongelewa vizuri katika Taifa hili,??
Kwamba ufanye unyama mkuu wa nchi anaejitambua anyamaze kisa alisema unafaa kua makam wa Rais then ukawa Rais , hawezi kua KWA kiongozi mwenye hofu ya mungu ,that's l love Islamic hasa ukimkuta alieisoma din kwelikweli hawanaga longolongo maana Wana hofu ya Mungu haswa, labda wale tu wapo basi siku ziende, tofauti Sana na sie wakiristu unafiki umetujaa Sana japo tunaongoza kua na madhehebu kibao kila kona ,
 
Naona siku hizi wanasaccos wote mmehamia CCM yaani ni raha sana kweli Hayati Magufuli aliposema Saccos itakufa ikifika 2020 yametimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…