Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😎Huyu Vero sio Musiba kweli?Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Bila picha mkuu ama ka-video basiLeo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Ni Mtanzania kumbuka, ni kama ilivyo kwako, Kwa nini unadhani asifanye hivyo!!
Unao ushahidi wa Makonda kua ndio kaanzisha hayo makundi kwenye mitandao ya kijamii? Au unataka tukuamini tuu?Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Makonda akamatwe ajibu tuhuma zinazomkabili kwani wakati wa haki umefika.Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.
Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Juzi niliona gazeti moja limeandika kuwa jalada la uchunguzi wa utekwaji wa mfanyabiashara maarufu Mo limepelekwa kwa DPP.
Naamini baada ya kukamatwa kwa Sabaya kwa kuwa maovu ya Makonda yanafanana na ya Sabaya, amenusa kitu. Hivyo ameamua kuanzisha harakati za kutafuta huruma za watanzania hasa wasiojua drama zake ili kuitisha Serikali isimchukulie hatua kama alivyofanyiwa Sabaya.
Sisi wengine tunajua Makonda ana hasira mno na utawala wa mama Samia baada ya kuachwa kwenye teuzi zote zilizofanywa. Yeye pamoja na wanazi wengine wa Magufuli waliokuwa wanafaidika na utawala wake wa kikatili na kidikteta wameanzisha kundi linaloishambulia Serikali ya Rais Samia katika mitandao ya kijamii. Kule FB wanatumia ID ya veronica france.
Kama kundi hili halitadhibitiwa mapema, litaisumbua sana Serikali ya mama Samia.
Exactly Mkuu..Tungesamehana tu tukatafuta katiba mpya na tume huru ili kutengeneza mfumo bora ( justice)
Tunasahau mifumo yetu ya utawala ndio inafanya watu wajisahau na kutena uovu kama huu.
Visasi havijawai kuleta amani na umoja.
Nelson Mandela angefanya visasi sijui kama angekuwa anakumbukwa kwa mazuri leo.
![]()
Mbowe: Hatukuwa na wagombea sahihi
Kuanza sasa wanachama wa Chadema watakuwa wakivaa sare za chama hicho kila Jumamosi ikiwa ni mkakati wa kuongeza motisha kwa makada wake wote.www.mwananchi.co.tz
Chadema ilishindwa kwa sababu waliweka wagombea dhaifu
Lakini mbona kuna habari mpya huku?
Kauli hii haimpi Makonda kinga.Acha uongo. Msikilize Mama hapa chini
View attachment 1809459
Kinga ya nini? Nasikia Faru John anamwaga manyanga 2023 pesa imekata vipi utagombea au sasa umerudi CCM??Kauli hii haimpi Makonda kinga.
Ukichunguza mitindo wa uandishi na ujengaji wa hoja,ID ya veronica france ina wachangiaji wengi,pamoja na Musiba wapo na wengine na makonda akiwa mmoja wao.😎Huyu Vero sio Musiba kweli?
Wafadhili wake wote huwa wanakufa:... kama kuna binadamu ameishi kisanii na kwa kujipendekeza duniani na "ikamlipa" tangu akiwa mtoto mdogo basi ni Makonda. Kwa usanii nimemvulia kofia japo kwenye "makaratasi yake" hamna kitu!
Mama alichokiongea hakiusiani na hoja ya Mtoa mada, alisema ikawa, ila sio kigezo chake kutotenda haki ,that's anasema watu wakikuongelea vizuri unapokea Mara dufu , Sasa wapi MACKONDA anaongelewa vizuri katika Taifa hili,??Acha uongo. Msikilize Mama hapa chini
View attachment 1809459
Naona siku hizi wanasaccos wote mmehamia CCM yaani ni raha sana kweli Hayati Magufuli aliposema Saccos itakufa ikifika 2020 yametimia.Mama alichokiongea hakiusiani na hoja ya Mtoa mada, alisema ikawa, ila sio kigezo chake kutotenda haki ,that's anasema watu wakikuongelea vizuri unapokea Mara dufu , Sasa wapi MACKONDA anaongelewa vizuri katika Taifa hili,??
Kwamba ufanye unyama mkuu wa nchi anaejitambua anyamaze kisa alisema unafaa kua makam wa Rais then ukawa Rais , hawezi kua KWA kiongozi mwenye hofu ya mungu ,that's l love Islamic hasa ukimkuta alieisoma din kwelikweli hawanaga longolongo maana Wana hofu ya Mungu haswa, labda wale tu wapo basi siku ziende, tofauti Sana na sie wakiristu unafiki umetujaa Sana japo tunaongoza kua na madhehebu kibao kila kona ,