mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Hii inaonesha kuwa,hata historia ya nchi yetu kuhusu nyerere aiipambania huenda ikawa ni ya uongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe ni demu au mwanaume? Mbona una uchekacheka kama shoga vile!!?kunyweni kwanza ya kwenu na Shujaa feki wenu, tulisema sisi, haya sasa kiko wapi? Pumbavu kabisa, ccm ina wenyewe, wenyewe ndio hao sasa
Kumbuka, mama alifanya kazi kwa karibu sana na mwenda zake, hivyo yeye kumsifia ni sawa, maana yeye mdiye inawezekana aliona kuwa amefanyakitu, lakini kama wengine wote hawakusifia ni sawa pia, maana wao ndiyo watanzania walengwa na hawakuona kama kuna kitu jamaa alifanya hata leo wasimame kumsifia, so na wao pia wahwshimiweHata Mrisho Mpoto Mnafiki sana nimemsikiliza kwenye hizo kelele zake anazopigaga Kila mara kawasifia Mwinyi Mkapa Na Kikwete sijui kwakuwa aliwaona wamekaa pale... huku Makufuli..kamsifia kidogo sana wakati jiwe alifanya maamuzi magumu mama kawaumbua Maana kamsifia ....Mrisho Mpoto Acha unafiki [emoji3166]
Hata dhalim wakati wake hakutambua michango ya watangulizi wake alikuwa aliwabeza kuwa walikuwa wapigaji tu watu wa dili.Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana
View attachment 2628625
Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !
Hii maana yake nini ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
CCM hawana jema.Kama ccm hawakumpenda JPM je ni nani mzuri wa Hawa watu???
Ninahisi utawala wa Yule bhana ulikuwa hauitajiki ndani ya ccm na kuna kila dalili alipotezwa ili kundi jingine liingie!!!
Na itakufa kifo kitakatifu kama cha KANU huko KENYA.CCM hawana jema.
Teh hizi kashifa kuna siku zitawarudi*2Mlisema Magu alipo na nyie mpo. Sasa mbona hamjaenda Chato kuzikwa naye?
Hiyo SGR inaanza lini!!??Samia na genge lake, walikwepa Uzinduzi wa Meli pale Mwanza
Yaan na Bado na badoo, hiii yote inaonyesha wanapambana na Marehem.
Na badooo maana SGR hiyo, Busis Iloo, JNHPP hiyooo ,
Badoooooo
SGR ni JPM mtupu mwenyewe kabisaHiyo SGR inaanza lini!!??
Hizo asilimia 2 hazijamalizika bado!!??
Ona ulivyo mpumbavu sasa, kuwa na adabu wewe mbwa, naongea na mwenye mbwa please tafuta wa level yako.Hivi wewe ni demu au mwanaume? Mbona una uchekacheka kama shoga vile!!?
Wanamtaka Marehemu wamfanyeje?. Marehemu yupo chato waende kule kumsabahi.Ila msilolijua kifo cha Yule bhana kimeligawa Taifa 3/4 .
Na kuna mama mmoja anaweka picha na mabangokila kona ya nchi watu hawayataki wanamtaka marehemu.
CCM hawana jema.
Msaidizi wake alikuwa Samia!SGR ni JPM mtupu mwenyewe kabisa
Dhambi ya ubaguzi inaitafuna CCM. Watabaguana mpaka mwisho.Hili jambo kila mtu kaliona hakika watanzania tumekwamka na tumekuwa waelevu sana miaka hii na kuweza kudadavua mambo
Wewe ndio level yangu!Ona ulivyo mpumbavu sasa, kuwa na adabu wewe mbwa, naongea na mwenye mbwa please tafuta wa level yako.
Kabla ya kifo cha JPM walikuwa wanasema aliko JPM nasi tupo.
Muda mfupi baadaye wanasema aliko mama na sisi tupo.
Kweshokutwa tukiweka Mbuzi hapo watasema aliko Mbuzi na sisi tuko.
Jiulizeni Hawa watu ni wa namna gani? Wanaishije? Wanalipwaje? Wana uchunguzi na nani? Wana Matarajio gani kimaisha? Wanasali dini gani ? Malengo yao ni Yapi? Wakiiba fedha wanapeleka wapi?
Viongozi wao sharti wajue kusoma na kuandika? Kuna Muungano huruhusiwi Kuuliza faida yake?
Mambo ni mengi kuliko majibu?