Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma
kunyweni kwanza ya kwenu na Shujaa feki wenu, tulisema sisi, haya sasa kiko wapi? Pumbavu kabisa, ccm ina wenyewe, wenyewe ndio hao sasa
Hivi wewe ni demu au mwanaume? Mbona una uchekacheka kama shoga vile!!?
 
Hata Mrisho Mpoto Mnafiki sana nimemsikiliza kwenye hizo kelele zake anazopigaga Kila mara kawasifia Mwinyi Mkapa Na Kikwete sijui kwakuwa aliwaona wamekaa pale... huku Makufuli..kamsifia kidogo sana wakati jiwe alifanya maamuzi magumu mama kawaumbua Maana kamsifia ....Mrisho Mpoto Acha unafiki [emoji3166]
Kumbuka, mama alifanya kazi kwa karibu sana na mwenda zake, hivyo yeye kumsifia ni sawa, maana yeye mdiye inawezekana aliona kuwa amefanyakitu, lakini kama wengine wote hawakusifia ni sawa pia, maana wao ndiyo watanzania walengwa na hawakuona kama kuna kitu jamaa alifanya hata leo wasimame kumsifia, so na wao pia wahwshimiwe
 
Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana

View attachment 2628625

Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !

Hii maana yake nini ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hata dhalim wakati wake hakutambua michango ya watangulizi wake alikuwa aliwabeza kuwa walikuwa wapigaji tu watu wa dili.
 
Hili jambo kila mtu kaliona hakika watanzania tumekwamka na tumekuwa waelevu sana miaka hii na kuweza kudadavua mambo
 
CCM hawana jema.

Kabla ya kifo cha JPM walikuwa wanasema aliko JPM nasi tupo.

Muda mfupi baadaye wanasema aliko mama na sisi tupo.

Kweshokutwa tukiweka Mbuzi hapo watasema aliko Mbuzi na sisi tuko.

Jiulizeni Hawa watu ni wa namna gani? Wanaishije? Wanalipwaje? Wana uchunguzi na nani? Wana Matarajio gani kimaisha? Wanasali dini gani ? Malengo yao ni Yapi? Wakiiba fedha wanapeleka wapi?

Viongozi wao sharti wajue kusoma na kuandika? Kuna Muungano huruhusiwi Kuuliza faida yake?

Mambo ni mengi kuliko majibu?
 
SGR ni JPM mtupu mwenyewe kabisa
Msaidizi wake alikuwa Samia!

Na sasa Samia anakamilisha kazi!

Naona mnataka fito zote za ujenzi wa nyumba yetu apewe mtu mmoja, alikuwa na mikono mingapi?.

Samia anahangaika usiku na mchana kuzunguuka duniani kutafuta fedha kukamilisha miradi halafu wewe unakuja kusema ni ya Jiwe peke yake?, Mbona hakuimalizia sasa?
 
Kabla ya kifo cha JPM walikuwa wanasema aliko JPM nasi tupo.

Muda mfupi baadaye wanasema aliko mama na sisi tupo.

Kweshokutwa tukiweka Mbuzi hapo watasema aliko Mbuzi na sisi tuko.

Jiulizeni Hawa watu ni wa namna gani? Wanaishije? Wanalipwaje? Wana uchunguzi na nani? Wana Matarajio gani kimaisha? Wanasali dini gani ? Malengo yao ni Yapi? Wakiiba fedha wanapeleka wapi?

Viongozi wao sharti wajue kusoma na kuandika? Kuna Muungano huruhusiwi Kuuliza faida yake?

Mambo ni mengi kuliko majibu?

Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom