Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

Wakiambiwa ukweli wanajificha kwenye kichaka cha udini kuwa wanakashifu dini za watu na wanatukana matusi,kashifa na matusi hawayasemi ni yapi yaliyotukanwa,sheria wanazodai zimevunjwa ni zile za kubumbwabumbwa ambazo wakipeleka mahakamani wanaishia kushindwa.
 
"Lingine, hakuna aliye juu ya sheria. Kila anayefanya makosa sheria itamshika. Kama umekiuka sheria, sheria itakushika. Ajenda yetu kubwa kama watanzania ni kudumisha amani, umoja na mshikamano wa kitaifa."
 
Yaani ukimsikiliza SAMIA unaona kabisa kwamba haelewi anacho ongea na haelewi anachowasilisha,KAZI ya wanawake waachiwe kupika na kazi ya uongozi waachiwe wanaume,Rais hana jipya zaidi ya mipasho tu ambayo ndio KAZI ya akina mama walio wengi,lkn utakuwa wajinga wanasifu.Amesema hakuna mtu mwenye hati miliki na nchi hii,ni vzr ametambua maana amechelewa sana kuelewa hilo yy alidhan ana hati miliki ya nchi hii na ameingia mikataba ya kipumbavu kana kwamba hii nchi ni yake.mama hajielewi na hawezi kuzungumza na akajua anaongea na akina nani yaani ni sifuri kabisa.
 
mikutano ya siasa , huwa ni huruma ya Rais au ipo ki katiba ? ila sawa... Rais yupo juu ya katiba na kila kitu kwa Tanzania
 
Huyu mama nchi imemshinda hii!

Upo huru na maoni yako, kwa lipi zaidi?

Wengine tunaona kazi zake adhimu na adimu ni njema sana.

"Wengi wape lakini wengine wasikilize" - mama Samia.

Tunakusikiliza.
 
Ya kuzungumza hakuna !
Anataka kutuambia Kila kitu kipo mwake!
 
Walikomaa na maridhiano uchwara ,kiko wapi sasa
 
CCM Walishafeli siasa za majukwaani miaka mingi toka Nyerere atutoke. Juzi juzi wamekimbizana kuwatetea DPW ila wakagundua hakuna mwananchi anawaelewa. Wamerudi kwenye kichaka chao kinachoitwa polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…