Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

CCM ni mabingwa wa kuhamisha gia angali.Wanakwepa mijadala inaohusu wanakimbilia kudai wametukanwa🤔
Sasa kuongelea DP World imekuwa matusi especially kwa dini Fulani.
Mwambie lema na Lissu waache kutuna jamani ]
 
Hivi kwa nini wanataka kutuaminisha kuwa mikutano ya hadhara ni fadhila kutoka kwao na sio takwa la kikatiba? Kiukweli walitakiwa kutuomba msamaha kwa kuizuia kinyume na Katiba.

Amandla....
Mwafrika ni lazima awe controlled , ukimpa uhuru ulipoilitilza wanakuw ahawana adabu kabisa. Mfano halisi ni MZEE Odinga almnusuru aingize KENYA kwenye machafuko kisa ni uhuru.
 
Mkuu,hao ndugu wanakimbilia kichambo au wanakikimbia kichambo? Anyway,pengine wanatembea huku wanachambwa.🤔
 
kumbe fursa ya mikutano ni prerogative mercy ya mtu (huruma za mtu), sio haki? kuna mwanadamu mmoja tu anaweza kuamua muwe na mikutano au msiwe nayo. katiba mpya ni ya muhimu sana.
 
Kwa hiyo Mwenyekiti wa CCM ndiye anayeamua mikutano iwepo ama isiwepo, na ikiwepo basi waseme waseme nini na waache nini.

Hii nchi ngumu saana.
 
kumbe fursa ya mikutano ni prerogative mercy ya mtu (huruma za mtu), sio haki? kuna mwanadamu mmoja tu anaweza kuamua muwe na mikutano au msiwe nayo. katiba mpya ni ya muhimu sana.
WAAFRIKA LAZIMA WASIMAMIWE VINGINEVYO NI KULETA TU UHUNI KWA MGOGO WA DEMOKRASIA, MFANO HALISI NI JIRANI ZETU WAKENYA
 
Kwa hiyo Mwenyekiti wa CCM ndiye anayeamua mikutano iwepo ama isiwepo, na ikiwepo basi waseme waseme nini na waache nini.

Hii nchi ngumu saana.
ENDELEENI KUWAPA AJIRA AKINA MBOWE , SIKU UKIJA KUSHTUK UTAKUWA UMESHAPOTEZE MUDA WAKO SAANA.
 
Tanzania tuna habari mbaya hatuna Raisi
 
Huwezi kuamini kwamba huyu ndiye aliyoongoza Bunge la Katiba la upatikanaji wa katiba mpya akiwa na hayati Samuel Sitta. Pia huwezi kuamini kwamba huyu ndiye aliahidi mapema Januari mwaka huu kwamba ataunda kamati ya kupata katiba mpya.

Si kwamba kasahau, la hasha! Bali katudharau na kutuona wa kudanganywa na kudanganyika. Anaweza kuwadanganya wengi, lakini hataweza kutudanganya sisi sote - katu!

Kasema katiba ni ya wananchi, si wanasiasa, kana kwamba maoni aliyokusanya Warioba yalikuwa ya wanasiasa tu. Mara kadhaa nimetahadharisha kuwa kamwe tusitegemee CCM au mwanachama wake yeyote kutuletea katiba mpya.
 
Mipasho ya leo ya Bi. Tozo ni kama ya Arusha alivyosema akiparurwa naye ataparara
 
Kwa CCM matusi ni kama:
1. Kudai katiba mpya
2. Kukataa ardhi yetu kuporwa
3. Kukataa kubambikiwa kesi
4. Kukataa kutekwa
5. Kukataa kikokotoo
6. Kukataa mauaji au kupigwa risasi
7. Kukataa kuporwa berue de change
9. Kukataa kuporwa kwa fedha za umma na ccm
10. Kutaka huduma nzuri za kijamii
11. Kukataa kuporwa uchaguzi
Endelea
 
Kweli kabisa naunga mkono hoja zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…