Mwambie lema na Lissu waache kutuna jamani ]CCM ni mabingwa wa kuhamisha gia angali.Wanakwepa mijadala inaohusu wanakimbilia kudai wametukanwa🤔
Sasa kuongelea DP World imekuwa matusi especially kwa dini Fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie lema na Lissu waache kutuna jamani ]CCM ni mabingwa wa kuhamisha gia angali.Wanakwepa mijadala inaohusu wanakimbilia kudai wametukanwa🤔
Sasa kuongelea DP World imekuwa matusi especially kwa dini Fulani.
Mwafrika ni lazima awe controlled , ukimpa uhuru ulipoilitilza wanakuw ahawana adabu kabisa. Mfano halisi ni MZEE Odinga almnusuru aingize KENYA kwenye machafuko kisa ni uhuru.Hivi kwa nini wanataka kutuaminisha kuwa mikutano ya hadhara ni fadhila kutoka kwao na sio takwa la kikatiba? Kiukweli walitakiwa kutuomba msamaha kwa kuizuia kinyume na Katiba.
Amandla....
Mkuu,hao ndugu wanakimbilia kichambo au wanakikimbia kichambo? Anyway,pengine wanatembea huku wanachambwa.🤔Leo tumejua kuchambwa mpaka tukachambika maana hakuna rangi tumeacha kuona..
Tumechaaambwa Kipwani
Tumechaaambwa Kingazija
Tumechaaambwa Kikwere
Tumechambwa Kizimkazi mpaka Mchambawima, Paje mpaka Makunduchi
Lilikosekana dera , kigoma na tarumbeta.. Ila kwa vichambo tuu tumevipokea na bakshish[emoji23]..m!!!!
Kumbe kwenye hii kaya kuna mijitu na vijitu....! Sina hakika Kama kuna kuna watu maana sikusikia wakitajwa popote...
Kilikuwa kikao cha vichambo[emoji23][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550]View attachment 2746087
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuhHakuna awamu ya 6 ...hiyi ni awamu ya ajali ...baada ya kifo cha jiwe
WAAFRIKA LAZIMA WASIMAMIWE VINGINEVYO NI KULETA TU UHUNI KWA MGOGO WA DEMOKRASIA, MFANO HALISI NI JIRANI ZETU WAKENYAkumbe fursa ya mikutano ni prerogative mercy ya mtu (huruma za mtu), sio haki? kuna mwanadamu mmoja tu anaweza kuamua muwe na mikutano au msiwe nayo. katiba mpya ni ya muhimu sana.
ENDELEENI KUWAPA AJIRA AKINA MBOWE , SIKU UKIJA KUSHTUK UTAKUWA UMESHAPOTEZE MUDA WAKO SAANA.Kwa hiyo Mwenyekiti wa CCM ndiye anayeamua mikutano iwepo ama isiwepo, na ikiwepo basi waseme waseme nini na waache nini.
Hii nchi ngumu saana.
pengine wanatembea huku wanachambwa[emoji23]Mkuu,hao ndugu wanakimbilia kichambo au wanakikimbia kichambo? Anyway,pengine wanatembea huku wanachambwa.[emoji848]
Maneno ya "Kizimkazi" ni makali hadi nguo za wachambwaji zimekwenda na upepo wa kusi.😂
Tanzania tuna habari mbaya hatuna RaisiLeo tumejua kuchambwa mpaka tukachambika maana hakuna rangi tumeacha kuona..
Tumechaaambwa Kipwani
Tumechaaambwa Kingazija
Tumechaaambwa Kikwere
Tumechambwa Kizimkazi mpaka Mchambawima, Paje mpaka Makunduchi
Lilikosekana dera , kigoma na tarumbeta.. Ila kwa vichambo tuu tumevipokea na bakshish[emoji23]..m!!!!
Kumbe kwenye hii kaya kuna mijitu na vijitu....! Sina hakika Kama kuna kuna watu maana sikusikia wakitajwa popote...
Kilikuwa kikao cha vichambo[emoji23][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550]View attachment 2746087
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuamini kwamba huyu ndiye aliyoongoza Bunge la Katiba la upatikanaji wa katiba mpya akiwa na hayati Samuel Sitta. Pia huwezi kuamini kwamba huyu ndiye aliahidi mapema Januari mwaka huu kwamba ataunda kamati ya kupata katiba mpya.Leo tumejua kuchambwa mpaka tukachambika maana hakuna rangi tumeacha kuona..
Tumechaaambwa Kipwani
Tumechaaambwa Kingazija
Tumechaaambwa Kikwere
Tumechambwa Kizimkazi mpaka Mchambawima, Paje mpaka Makunduchi
Lilikosekana dera , kigoma na tarumbeta.. Ila kwa vichambo tuu tumevipokea na bakshish[emoji23]..m!!!!
Kumbe kwenye hii kaya kuna mijitu na vijitu....! Sina hakika Kama kuna kuna watu maana sikusikia wakitajwa popote...
Kilikuwa kikao cha vichambo[emoji23][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550]View attachment 2746087
Sent using Jamii Forums mobile app
Mipasho ya leo ya Bi. Tozo ni kama ya Arusha alivyosema akiparurwa naye atapararaLeo tumejua kuchambwa mpaka tukachambika maana hakuna rangi tumeacha kuona..
Tumechaaambwa Kipwani
Tumechaaambwa Kingazija
Tumechaaambwa Kikwere
Tumechambwa Kizimkazi mpaka Mchambawima, Paje mpaka Makunduchi
Lilikosekana dera , kigoma na tarumbeta.. Ila kwa vichambo tuu tumevipokea na bakshish[emoji23]..m!!!!
Kumbe kwenye hii kaya kuna mijitu na vijitu....! Sina hakika Kama kuna kuna watu maana sikusikia wakitajwa popote...
Kilikuwa kikao cha vichambo[emoji23][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550]View attachment 2746087
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa CCM matusi ni kama:[emoji116]View attachment 2746153
HahahahaaManeno ya "Kizimkazi" ni makali hadi nguo za wachambwaji zimekwenda na upepo wa kusi.[emoji23]
Kweli kabisa naunga mkono hoja zoteKwa CCM matusi ni kama:
1. Kudai katiba mpya
2. Kukataa ardhi yetu kuporwa
3. Kukataa kubambikiwa kesi
4. Kukataa kutekwa
5. Kukataa kikokotoo
6. Kukataa mauaji au kupigwa risasi
7. Kukataa kuporwa berue de change
9. Kukataa kuporwa kwa fedha za umma na ccm
10. Kutaka huduma nzuri za kijamii
11. Kukataa kuporwa uchaguzi
Endelea