Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

TEC wao walishamaliza kazi yao. Imebaki wananchi na waelewa kutekeleza jambo
 
Umeweza kuwasambaratisha chadema na TEC Yao kwa speech yako iliyojaa hekima ya Hali ya juu sana. Huku mitandaoni ni matusi kwa kwenda mbele hawakuami kuwa una akili kubwa kiasi hicho.

Tangu Jana Kina mdude et al wanavurumisha matusi tu mana umewaumbua sana na hawana pa kushika kwa Sasa.
Hv wengne mnapata wap nguvu za kumpongeza huyu bi mkubwa!? 🤔 Mbn naona hana ktu chchte kichwan!? Nchi haina matumain now n yuh still here praising that old lady here guyz! Sshv ht hko mitandaon tunaona nomah kujitambulisha kama waTanzania sababu tu ya ujinga wa taifa letu.
 
Kusoma hujui, kuandika hujui. Je, utaweza kuelewa hotuba nzuri?
 
Umeweza kuwasambaratisha chadema na TEC Yao kwa speech yako iliyojaa hekima ya Hali ya juu sana. Huku mitandaoni ni matusi kwa kwenda mbele hawakuami kuwa una akili kubwa kiasi hicho.

Tangu Jana Kina mdude et al wanavurumisha matusi tu mana umewaumbua sana na hawana pa kushika kwa Sasa.
Hatunywi sumu , hatujinyongi CCM mbele kwa mbele

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hv wengne mnapata wap nguvu za kumpongeza huyu bi mkubwa!? 🤔 Mbn naona hana ktu chchte kichwan!? Nchi haina matumain now n yuh still here praising that old lady here guyz! Sshv ht hko mitandaon tunaona nomah kujitambulisha kama waTanzania sababu tu ya ujinga wa taifa letu.
Unafurahia akina lisu walipopigwa lisasi na jpm na kukimbila ubiligijia au siyo? Ule utawala ndo unaufurahi. Sasa hivi kwanza kusingekuwa na mpinza I hata mmojaanayekosoa kama wanavyojimwaga sasa
 
Unafurahia akina lisu walipopigwa lisasi na jpm na kukimbila ubiligijia au siyo? Ule utawala ndo unaufurahi. Sasa hivi kwanza kusingekuwa na mpinza I hata mmojaanayekosoa kama wanavyojimwaga

Unafurahia akina lisu walipopigwa lisasi na jpm na kukimbila ubiligijia au siyo? Ule utawala ndo unaufurahi. Sasa hivi kwanza kusingekuwa na mpinza I hata mmojaanayekosoa kama wanavyojimwaga sasa
Hakuna rais anaingia madarakani ili kudeal na upinzani/ wapinzani tambua hlo budder na moja ya majukumu ya rais ni kuipush nchi kwenda mbele kimaendeleo.

Ila nyie vichwa maji mnataka kufanya rais awe kama mtu wakudeal na upinzani tu hapo ndio mnatutoa kwenye mstari wa maendeleo, JPM n mkosaji kwenye swala zima la kudeal na upinzan lkn action ya kuipush nchi kwenda mbele na uhai ulkuwepo.

Huyu bi mkubwa anadeal vzr na upinzan ingawa kinafki lkn hafanyi kitu kbs na ndio point yenu yakujitetea ety Mama ni mwema iko hpa mnasahau maendeleo yamesimama.
 
Wana jf habari zenu.

Hivi hii kauli ya SSH kwamba "katiba ni kitabu tu kama vitabu vingine siyo lazima kuifuata".

Tanganyika hatuna rais, katiba imekufa ni kitabu tu,,aisee hiz kauli zinafanya watu wengine tusikie aibu, embarrassing, kiongozi wa nchi anaongea hovyo hajui kupangilia maneno, najiuliza hiyo elimu aliyosema wananchi wapewe ni elimu ip8 hiyo na ipi, kwahyo na sisi tuishi bila kuifuata hiyo katiba au unaleta kitabu chako.

Unasahau kama katiba ndiyo imekuweka hapo.... Unasahau kama katiba ndiyo inapindua, so bored😡😡
 
ameishasahau kwamba aliwahi kutuahidi Wadanganyika kwamba yeye si Mtu wa kufokafoka na hatafokafoka...?!)
Na wewe ulimuamini aliposema?😃
Alidhani mtangulizi wake alipenda style ya kufoka.
Naona bado kidogo angeomba beat! Kuongoza nchi si sawa na kuongoza familia
 
Kila hotuba huwa inafuatana na wasikilizaji wake...
Hii haikuwa ni ajali, bali ni makusudio ya kufikisha ujumbe.....
 
Back
Top Bottom