Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Walk the Talk....Samia anataka kuhadaa watu, hana nia ya dhati kwenye lolote. mwongomwongo, mnafiki na mzandiki.
Sasa Kaonyeshwa kwamba kuna watu hawataki hiyo michezo yake yakutafuta kupiga picha za kuuza sura duniani kwa mabwana wanaompea hela.
mazaaa analongolongo nyingi zisizo na maana
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Signs of incompetent president. Wenye akili hawapotezi muda kuhudhuria mikutano isiyokuwa "focused".
 
Ni raisi anevumilia upumbavu wa Lissu; mwache ya mkute. She deserves everything.
 
Ukiondoa siku ya ufunguzi wa Bunge 2015 hakunaga mahali Magufuli alienda halafu Mbunge wa Chadema asihudhurie

Pale Mbeya Mjini Sugu alipanda kabisa kwenye gari la Shujaa Magufuli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯🐼
Alipofungua stendi ya mabasi Mbezi, au soko la kisutu sikuona MTU wa chadema.
 
Amenishangaza Sana. Anadai hata kutokuja kwenye mkutano wa Leo wamegawanyika , wale wanaotaka na wale wasiotaka. Huko kwao kwa moto. Amejuaje?

..anadai kuna mgawanyiko kati ya wanaliotaka kuhudhuria mkutano, na waliogoma kuhudhuria mkutano.

..kilichotokea ni kuwa hakuna hata mmoja aliyehudhuria mkutano. Sasa ktk mazingira hayo inaelekea hakuna mgawanyiko.

..halafu Ssh amekwenda mbali mpaka kuwalinganisha na ng'ombe, au worse than ng'ombe akidai hata wanyama hao wana maadili yao.
 
Umeandika kwa uchungu sana utadhani bila CHADEMA haupumui.Kuhudhuria mkutano siyo lazima.Kwani waliokuwepo hawakutosha?
 
Tuna rais wa hovyo kuwaipata,yeye badaka ya kuongelea mikataba watu wanayoipigua kelele kaenda kujibu vijembe alivyopigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…