Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

CHADEMA wanajua sana kukera hawataki demokrasia ya maneno bila vitendo maza aache kurembuarembua tu
Walk the Talk....Samia anataka kuhadaa watu, hana nia ya dhati kwenye lolote. mwongomwongo, mnafiki na mzandiki.
Sasa Kaonyeshwa kwamba kuna watu hawataki hiyo michezo yake yakutafuta kupiga picha za kuuza sura duniani kwa mabwana wanaompea hela.
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Chadema ndio agenda kuu ya ccm hata kwenye ilani yao wameiweka
 
Ni mhuni huyu mama. Sasa kama chadema wamegawanyika si afurahie?
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
 
Kanisa Moja Takatifu la Mitume [emoji3]
Mkuu, huwa unanikumbusha miaka ya early 80's, nikiwa mdogo RC wakajenga kanisa kijijini kwetu, walikuwa na wimbo wao unaosema " Naamini Kanisa Moja Takatifu la mitumee, naungama ubatizo kwa maondoleo ya dhambi, nangojea ule ufufuo wa wafu na wawazima wamilele ijayo Amina. Mimi siyo RC lakini enzi za utoto kanisa liko jirani hardly 30 metres tulikuwa tunaenda kusikiliza nyimbo.
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
HATA HIVYO AMEJITAHIDI KUZUIA HISIA ZAKE, KUNA JAMBO ANAHITAJI MLANGO WA KUTOKEA.
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Uhudhurie kwenda kusikiliza taarabu?
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Kaka au mdogo wangu hivi kulikuwa na haja kweli kuweka "thread" au ni sawa na kusema "elimu ndogo uzia" , jifunze kuzidhibiti hisia zako utapevuka
 
Kwani ni uongo??

Mbowe ana miaka mingapi kwenye hiyo nafasi yake ya uenyekiti??
Hajajiweka mwenyewe hapo. Na kama yeye ni project yenu kwanini mnahofia uwepo wake hapo mchana kutwa? Mbona hamsemi ya Cheyo,Lipumbavu na hivi karibuni Mbatia, hao wote walikuwa wenyeviti kabla ya Mbowe. Maccm mnamhofia saaaana Mbowe mumbejaribu mara kadhaa kuimpose mtu wenu hapo mumeshindwa mumebakia kubweka bweka kama mbwakoko.
 
Kwahiyo atakuwa ni mwenyekiti wa chama hadi kifo kimkute hapo siyo??

Sasa hiyo demokrasia anayohubiri siku zote iko wapi??

Je,hautafakari hata kwa hilo dogo tuh??
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
samia ni dhaifu mno.
 
Chadema lazima watambue kwamba mchawi wao ni mbowe,amegeuza Hiko Chama kuwa ni chama Cha ukoo
wewe ni nani hapo ccm? rejea majina haya... rizi one, makamba, nape.. na weeengi hapo lumumba au hujui maana ya ukoo
 
Amenishangaza Sana. Anadai hata kutokuja kwenye mkutano wa Leo wamegawanyika , wale wanaotaka na wale wasiotaka. Huko kwao kwa moto. Amejuaje?
mama abdul anadanganywa kienyeji sana, humu hamna Rais ndugu zetu ccm tafuteni mtu mwingine mwenye angalau angalau kidogo.
 
Back
Top Bottom