Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Nitaipataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Tumtahadharisha toka mwanzo kuwa mbowe na genge lake ni matapeli siyo wa kuwaweka karibu. Alipaswa aruhusu upinzani mypa kama uchipuke kama ilivyokuwa CUF, NCCR na kifo cha chadema, sasa eti yeye mama yetu akataka kufufua chama cha upinzani kilichokufa Hahaha 🤣
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Ndio waleta vurugu Nchini,Sasa ulitaka awashambulie kina nani? Wengine mumezaliwa muwe wabishi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…