Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Hata huku makazini tuliko utaona kabisa kijana mchapa kazi, shupavu tusio na maringo. Weledi.
Ukiuliza vizuri utaambiwa yule jamaa ni Chadema.

Niliwahi kuandika humu kuwa hata Ukisikia Wakili au Mwanasheria Mbabe na Kichwa kikali basi hutakuta mahali pengine bali ni Chadema.

Hotuba ya Mh Rais Samia imedhihirisha kuwa kikao cha leo cha baraza la vyama vya siasa na wadau wa demokrasi hakihitaji Zitto, Lipumba wala Chongola na Chalamila bali kilihitaji Watu wazito wenye weledi na hoja kuntu kama Mh Mbowe na Mh Tundu Lissu.

Sikiliza Hotuba ya Rais Samia utaona Njaa ya kuijosa Chadema kwenye jambo lao.
Nitaipataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Tumtahadharisha toka mwanzo kuwa mbowe na genge lake ni matapeli siyo wa kuwaweka karibu. Alipaswa aruhusu upinzani mypa kama uchipuke kama ilivyokuwa CUF, NCCR na kifo cha chadema, sasa eti yeye mama yetu akataka kufufua chama cha upinzani kilichokufa Hahaha 🤣
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Ndio waleta vurugu Nchini,Sasa ulitaka awashambulie kina nani? Wengine mumezaliwa muwe wabishi tuu
 
Back
Top Bottom