Walk the Talk....Samia anataka kuhadaa watu, hana nia ya dhati kwenye lolote. mwongomwongo, mnafiki na mzandiki.CHADEMA wanajua sana kukera hawataki demokrasia ya maneno bila vitendo maza aache kurembuarembua tu
Haka ka kauli kana maana na kamewauma watu snzitto c amehudhuria kunashida kwani
Hahahaaaaa daaah aisee!Ni kama TEC Wakosekane kwenye kikao cha viongozi wa dini. Hicho siyo kikao ni Tamasha
Chadema ndio agenda kuu ya ccm hata kwenye ilani yao wameiwekaNaona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Mkuu, huwa unanikumbusha miaka ya early 80's, nikiwa mdogo RC wakajenga kanisa kijijini kwetu, walikuwa na wimbo wao unaosema " Naamini Kanisa Moja Takatifu la mitumee, naungama ubatizo kwa maondoleo ya dhambi, nangojea ule ufufuo wa wafu na wawazima wamilele ijayo Amina. Mimi siyo RC lakini enzi za utoto kanisa liko jirani hardly 30 metres tulikuwa tunaenda kusikiliza nyimbo.Kanisa Moja Takatifu la Mitume [emoji3]
HATA HIVYO AMEJITAHIDI KUZUIA HISIA ZAKE, KUNA JAMBO ANAHITAJI MLANGO WA KUTOKEA.Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Uhudhurie kwenda kusikiliza taarabu?Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Hiyo hewa lazima imtoke tu anatafuta upenye aiachie puuu🤣🤣HATA HIVYO AMEJITAHIDI KUZUIA HISIA ZAKE, KUNA JAMBO ANAHITAJI MLANGO WA KUTOKEA.
MUENENEE HURUMA BASIHiyo hewa lazima imtoke tu anatafuta upenye aiachie puuu[emoji1787][emoji1787]
Mtesi wa nchiMUENENEE HURUMA BASI
Kaka au mdogo wangu hivi kulikuwa na haja kweli kuweka "thread" au ni sawa na kusema "elimu ndogo uzia" , jifunze kuzidhibiti hisia zako utapevukaNaona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Hajajiweka mwenyewe hapo. Na kama yeye ni project yenu kwanini mnahofia uwepo wake hapo mchana kutwa? Mbona hamsemi ya Cheyo,Lipumbavu na hivi karibuni Mbatia, hao wote walikuwa wenyeviti kabla ya Mbowe. Maccm mnamhofia saaaana Mbowe mumbejaribu mara kadhaa kuimpose mtu wenu hapo mumeshindwa mumebakia kubweka bweka kama mbwakoko.Kwani ni uongo??
Mbowe ana miaka mingapi kwenye hiyo nafasi yake ya uenyekiti??
Hajajiweka mwenyewe hapo. Na kama yeye ni project yenu kwanini mnahofia uwepo wake hapo mchana kutwa? Mbona hamsemi ya Cheyo,Lipumbavu na hivi karibuni Mbatia, hao wote walikuwa wenyeviti kabla ya Mbowe. Maccm mnamhofia saaaana Mbowe mumbejaribu mara kadhaa kuimpose mtu wenu hapo mumeshindwa mumebakia kubweka bweka kama mbwakoko.
Sasa ambao wanataka si wangeendaAmenishangaza Sana. Anadai hata kutokuja kwenye mkutano wa Leo wamegawanyika , wale wanaotaka na wale wasiotaka. Huko kwao kwa moto. Amejuaje?
samia ni dhaifu mno.Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
wewe ni nani hapo ccm? rejea majina haya... rizi one, makamba, nape.. na weeengi hapo lumumba au hujui maana ya ukooChadema lazima watambue kwamba mchawi wao ni mbowe,amegeuza Hiko Chama kuwa ni chama Cha ukoo
mama abdul anadanganywa kienyeji sana, humu hamna Rais ndugu zetu ccm tafuteni mtu mwingine mwenye angalau angalau kidogo.Amenishangaza Sana. Anadai hata kutokuja kwenye mkutano wa Leo wamegawanyika , wale wanaotaka na wale wasiotaka. Huko kwao kwa moto. Amejuaje?