Mtoa mada embu jaribu kumsikiliza Mzungu aliyejifunza kiswahili then msikilize, ukikuta anazungumza kwa ufasaha ndio uje uhitimishe kuwa lugha ndio kipimo cha uelewa wa mtu. Lugha ambayo sio mother tongue huwa inasumbua wote.
Huyu anamvuto gani wa kuombwa rushwa ya ngonoPlus rushwa ya ngono!
Tangazo la Haki Elimu Profesa Ndalichako ndiye kigezo cha utukufu kwenye usomi! Mabinti wanashawishiwa wasome mpaka wafikie kiwango cha Profesa Ndalichako.View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Hakuna kitu hicho, mbona rafiki zenu Wachina wanajifunza kiswahili, Magufuli alikuwa hajui kiingereza akajitahidi sana kutushawishi eti tuongee kiswahili tu tuzikatae lugha nyingine, Magufuli huyohuyo anazunguka akigawa vitabu vya kiswahili eti wajifunze huku hatuwezi kuwasiliana na hao tunaotaka tuwafundishe!I don’t think and/or believe speaking good English (as the Brits do) as the measure of intelligence.... Why can’t we embrace our own languages?
Anajielewa mwenyewe sisi tunasikia sauti tuSijamuelewa anazungumzia nn..aaah aah nyingi, point yake ipi hasa
Kiuweledi sina haja ya kukasirika hayo ni maoni yako yawe ya staha, hasira, mpayuko, kuvimba, n.k swali linabaki so what? tofauti baina yetu zitadumu na ndio hivyo Mungu kaumba, David Beckam faces the same about his English and he is a British.Hivi huwa mnakaa na kutetea ujingaujinga ili iweje?Kuanzia darasa la tatu hadi kuwa profesa ameshindwa kuijua hiyo lugha?Huyo ni mdumavu wa akili.Miaka karibia ishirini hajaielewa lugha? Mbona kitoto cha miaka mitano tu kinafunzwa lugha(yoyote duniani) na kuelewa vizuri?Kutetea upumbavu ni kuwa sehemu ya upumbavu au ya mpumbavu.Kasirika!
Akishuka jukwaani kuna watu watakwenda kumshika mkono kumpongeza na kumsifia "mama umetiririka safi sana hapa dunia imetuelewa tuko vizuri"View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Exactly! I love it when English is spoken with Italian, Spanish, Russian and Arabic accents..... lakini kinyooke grammatically.Issue sio accent. Grammar
Huyu anatia aibu Sana Elimu,kasoma Canada lakini wapi sijui anaweza kuwaeleza nini wanafunzi.View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Mi simkubali toka yupo Baraza la mitihani na Magufuli alivyompa uwaziri akaanza kujifaragua sasa ivi kimya anaogopa kutoa makucha pimbi huyuView attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Tatizo lako unafikiri kila mtu kafiwa na mume kama ilivyo kwako..We mjane acha hasira! Kulikua na ulazima gani kutukana?
Hoja dhaifu, huwezi soma ukawa na elimu kama yake na lugha ya ufundishaji ni kingereza halafu unazungumza kingereza kibovu kuliko hata mtoto wa nursery wa english medium.Kwani kingeleza ndio kipimo cha weledi au taaluma kichwani?
Unaweza ukajua kingeleza kizuri kabisa lakini madini kichwani hamna. Na unaweza usijue hicho kingeleza chenu lakini kichwani madini matupu. Kingeleza ni lugha tu kama kishwahili nk, nk na sio kipimo cha weledi wa mtu.
Aongeee Swahili anajitutumua nn sasaPhD yake na fluency kwenye English havina uhusiano kabisa, huenda ikawa English kwake ilikua option tu kwa ajili ya Masomo
Acheni chuki, tatizo mliaminishwa ukijua kuongea kingereza ndio kuwa smart kichwani
Sema Prof akitoka hapo lazima akameze panadol🤣
Wacha hiyo wewe kuna wengine hapo ndipo penyewe!Huyu anamvuto gani wa kuombwa rushwa ya ngono
Kumbuka huyo Mzungu Kiswahili kajifunza ukubwani na hakujifunza shule.Kwa umri wa Ndalichako maneno na sentensi za Kingereza kaziona na kuziandika kwa zaidi ya miaka 20. Kwahiyo usifananishe na huyo Mzungu aliyeona maneno na sentensi za Kiswahili kwa mwaka mmoja.Ushauri kwa mama yangu ajitahidi kusoma vitabu vya hiyo lugha kwa wingi ili aweze kupata misamiati kwa wingi na pia kuweza kutengeneza sentensi za hiyo lugha.Mtoa mada embu jaribu kumsikiliza Mzungu aliyejifunza kiswahili then msikilize, ukikuta anazungumza kwa ufasaha ndio uje uhitimishe kuwa lugha ndio kipimo cha uelewa wa mtu. Lugha ambayo sio mother tongue huwa inasumbua wote.