Kuandamana?Makamanda wenyewe wameacha hayo mambo ya maandamano wewe utaweza?Tuhamasishe wananchi wawakatae hata kabla ya uchaguzi?
Tuandamane?
Tugome na kufanya migomo ya nguvu?
" kila waziri anatakiwa ale kulingana na urefu wa kamba yake" Anonymous.
Akafumuliwa kuwa kuwa kama alipata division 1 form 4 kwa point 4 ni kwa nini hakwenda form 5, akawa hana jibu
Nchi za watu kunusa public fund adhabu yake ni risasi Sisi bado tuna madubwasha Yana encourage watu kuiba. Kinachonifurahisha hata kama wasomi wetu ni ma traitors wa pesa tulizowasomesha reaction za watu zinanipa Moyo kwamba kuna kizazi hakidaki huu uhuni .serikali ya kihuni kabisa .#@£&££#@@Kama Kiguu analitambua hilo. Then what ? She think this is the Solution ? Serikali yakipigaji hiii , kama mpaka masterroom ya Inch inalitambua hili na hamna hatua
We endelea kulia tu huku wenzako wanakula nchi 😁😁Naililia Mama Africa
Yes ni kweli , hapo alichemkaHii kauli ina maana zaidi ya moja. Haikupaswa kutoka hadharani.
Kama unajua kuwa huna kitu kichwani chaguo sahihi ni kukaa kimya ili kuficha ujinga.Kwani we ukisikia neno mafisadi unaelewa nini, ama unajifanya punguani na wewe au sio.!
Samahani, nadhani nimekosea hiyo namba kwani siikumbuki tena; point 4 zilikuwa ya form 6 nadhani. Hicho cheti cha form 4 kilikuwa na A tano, C moja (ya Kiswahili) na B mbili za Siasa na Kiingereza; sikumbuki kwa jumla hizo zilikuwa point ngapi wakati huo. Lakini walimkamata kuwa kwa pass hizo asingeishia form four tu.Division 1 Form 4 kwa point 4! Wanalikuwa wanahesabu masomo mangapi walipo gawa haya madaraja? Cambridge form four school certificate walikuwa wanahesabu masomo 6 walipokuwa wanatoa divisions!
Samahani, nadhani nimekosea hiyo namba kwani siikumbuki tena; point 4 zilikuwa ya form 6 nadhani. Hicho cheti cha form 4 kilikuwa na A tano, C moja (ya kiswahili) na B mbili za Siasa na Kiingereza; sikumbuki kwa jumla hizo zilikuwa point ngapi wakati huo. Lakini walimkamata kuwa kwa pass hizo asingeishia form four tu.
Aisee kumtetea mama ni inshuu hasaaaWatetezi wake mna kazi kubwa.
Naam,lugha huzingatia utamaduni na mapokeo ya jamii...Kila mbuzi anakula kwa urefu was kamba yake ,hata kama Ina maana nzuri,lakini nanna linavyitumika ...no kuhslalisha wizi na ufisadadi!Hii kauli ina maana zaidi ya moja. Haikupaswa kutoka hadharani.
Yaani we jamaa huo ubingwa wenu unamsaidia nini bibi na babu walioko kijijini kwenu,,, Nyau wwWe utakua shabiki wa utopolo! Hutaki hata kutupa nafasi ya kusherekea ubingwa wetu!
Af mnasema humu kuna raisi kweli😅Fisadi namba moja ni Rais ambae anahamasisha ufisadi kupitia TV ya Taifa🤡🤡🤡
View attachment 2080143
Kama unajua kuwa huna kitu kichwani chaguo sahihi ni kukaa kimya ili kuficha ujinga.
Ufisadi ni neno linalojumuisha matumizi yote yasiyo sahihi ya fedha za uma kama vile kutumia fedha za uma nje ya budget,kutumia fedha za uma kutoa zawadi nje ya sheria...