kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Kuandamana?Makamanda wenyewe wameacha hayo mambo ya maandamano wewe utaweza?Tuhamasishe wananchi wawakatae hata kabla ya uchaguzi?
Tuandamane?
Tugome na kufanya migomo ya nguvu?
" kila waziri anatakiwa ale kulingana na urefu wa kamba yake" Anonymous.