Wewe mpumbavu tutajie hata watu watano waliouawa na Magufuli? Hivi unaunga mkono huu ujinga anaousema huyu bibi yako? You are very stupid!Kagame na Museveni wanaweza wakawa wanatucheka kwa vile wao wanaua wakosoaji kama alivyokuwa anafanya Magufuli. Sasa tuna Samia haui wakosoaji
Yule Mbulula hafai,kazi yake ni kudanganya Waumini na kula sadaka zao.Tumpe Gwajiboy uspika!
Wewe kamuliwa tozo tu wao WAKAJAZE MITUMBO yao kama migunia ya PambaNimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato...
Amuunge mkono mamaako au akuunge mkono ww unaeuza Kofia ili uishiAcha kupotosha mkuu,mama hakumaanisha hivyo,pole Sana
Nauza hizo kofia,njoo nikuuzie umuunge mkono mamaView attachment 2079534
Kwa ubongo wako wa kisoda huwezi kuelewa! Kazi yako kushangilia hata kama mi ujinga!Nimesikia vizuri tuu,shida iko wapi hasa? Rais si anawaasa mawaziri Kuhusu wizi au?
Ukiambiwa usimuamini mwanamke this is what it means bruh! Position aliokuwa nayo huyu bi. Mdash kama uraisi ungekuwa familia basi ni sawa na alikuwa mke wa rais!CCM ni ile ile ooo ni ile ileeee .kauli ya hovyo kutolewa na kiongozi wa nchi tangu uhuru. Huyu bi kidude anajificha kwenye hasira zetu ila ni wa hovyo kuliko hata awamu ya nne . KUmbe huko wanakula nchi huku wanatubambika Ma tozo .unajua siamini kama ndo Huyu wa awamu ya tano
Huyo unaemlilia nae peke yake kapiga 1.5tlNimeiangalia hii clip kwa mara ya tatu sasa japo nielewe between the line kinachosemwa kina maana gani…siamini masikio yangu..
Eti mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, eti msile sana mkavimbiwa jipimieni daah JPM uko alipo km anaiona hii clip kiroho anapiga ule ukunga wake iihiiiiiiii...
Mkiambiwa hii ni awamu ya 4B muwe waelewa sahizi kama hauko kitengo ndio muda wa kushuhudia hadi secretary wa halmashauri akisimamisha mjengo ndani ya miezi michache😅Ni kauli za kijanga sana na sijawahi kufikiri upumbafu kama huu??? Kwa hiyo amehararisha watu wapige wanavyotaka? Bogus kabisa
Atleast wananchi aliwajali lakini. Kupiga kila mtu anapiga ila huyu anaeona wananchi kama uchafu kisha wao walioko kwenye system ndio watu basi anastahili kuchukiwa tu hamna namnaHuyo unaemlilia nae peke yake kapiga 1.5tl
Hii ni fasihi na fasihi haijawahi kuwa na jibu moja, hivi kwenye kuchongeana unaweza tumia msemo kila mbuzi ale urefu wa kamba yake na mbona mnakula sana mpka mnavembewa?Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......
Mama ameongea mengi akitaja MUHALI....🙏
Ni ngumu sana kusema nyeusi ni njano😅😅😅Watetezi wake mna kazi kubwa.
We unaona lipo sawa hilo? Ni sawa na mzazi kusema vuteni bangi na unga ila msilanduke😅Kwanza ukisikiliza hiyo Crip ina shida gani? Mbona Rais anawaasa mawaziri kuacha wizi? Tena anawaambia waache urafi na katoa mifano .
Lakini ni ukweli pia kwamba kila mtu anakula alipo ila ulaji usiwe wa uharibifu.
Acha kujifanya kuwa hamnazo.Wewe ulikuwa unafikiri kuwa ufisadi ni kuiba peke yake na ndiyo maana ukawa unadai kuwa mtu alieiba fedha nyingi kiasi hicho amezificha wapi?Kumbe ufisadi siyo lazima mtu aibe."Unaelewa maana ya ufisadi?Nani kakwambia kuwa ufisadi ni kuiba?"
Unaniuliza nani alie niambia kwamba ufisadi ni kuiba alafu tena unajijibu mwenyewe kwamba,
"Wizi ni sehemu ya ufisadi"
Basi uko sawa, umekata gogo!!, alafu umezoa mwenyewe.
Polepole bandugu !!! Aste aste kwa kihindi !! Kula sana matokeo yake ni kuvimbiwa tuu !! Wenye tabia hizo acheni mnatuzingua bhana !!!
Sasa ni awamu ya ulaji tu, mikopo, tozo, miradi nk ni ulaji mtupuTuhamasishe wananchi wawakatae hata kabla ya uchaguzi?
Tuandamane?
Tugome na kufanya migomo ya nguvu?
" kila waziri anatakiwa ale kulingana na urefu wa kamba yake" Anonymous.
Watanzania bhana!Waache wakati wamehamasishwa na Rais kuwa wajipimie?Polepole bandugu !!! Aste aste kwa kihindi !! Kula sana matokeo yake ni kuvimbiwa tuu !! Wenye tabia hizo acheni mnatuzingua bhana !!!