Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Kagame na Museveni wanaweza wakawa wanatucheka kwa vile wao wanaua wakosoaji kama alivyokuwa anafanya Magufuli. Sasa tuna Samia haui wakosoaji
Wewe mpumbavu tutajie hata watu watano waliouawa na Magufuli? Hivi unaunga mkono huu ujinga anaousema huyu bibi yako? You are very stupid!
 
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato...
Wewe kamuliwa tozo tu wao WAKAJAZE MITUMBO yao kama migunia ya Pamba
 
CCM ni ile ile ooo ni ile ileeee .kauli ya hovyo kutolewa na kiongozi wa nchi tangu uhuru. Huyu bi kidude anajificha kwenye hasira zetu ila ni wa hovyo kuliko hata awamu ya nne . KUmbe huko wanakula nchi huku wanatubambika Ma tozo .unajua siamini kama ndo Huyu wa awamu ya tano
Ukiambiwa usimuamini mwanamke this is what it means bruh! Position aliokuwa nayo huyu bi. Mdash kama uraisi ungekuwa familia basi ni sawa na alikuwa mke wa rais!

Anayoyafanya means alikuwa ni mnafiki wa kiwango cha SGR yani ni sawa na mkeo pale ndani awe ameokoka kama wewe na mnakwenda na kushiriki shughuli za kanisa kikamilifu.

Kisha week 1 baada ya msiba wako aanze kufanya mambo ya hovyo yasioelezeka kama ulevi na kuingiza mabwana ndani kwa foleni na uchafu mwengine ikiwemo kufukuza watoto wako aliowakuta mjengoni na kualika vi Ben 10 ili wajinafasi kwenye mali zako.
 
Nimeiangalia hii clip kwa mara ya tatu sasa japo nielewe between the line kinachosemwa kina maana gani…siamini masikio yangu..

Eti mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, eti msile sana mkavimbiwa jipimieni daah JPM uko alipo km anaiona hii clip kiroho anapiga ule ukunga wake iihiiiiiiii...
Huyo unaemlilia nae peke yake kapiga 1.5tl
 
Hili nalo neno,kauli hii inaashiria Mawaziri ni wezi ila katika kuiba kwao wasiwaingilie wengine katika kukwapua ile 10%.

Chukua Chako Mapema ndivyo walivyo na hii ni kashfa kuwa kinachotokea kinajulikana ,viongozi wa Serikali hapa wameingizwa kwenye choo kisichokuwa na mlango wala pazia.

Muhimu kwa upande wangu sioni vibaya kwa hao wahusishwa kula hela za miradi lakini ulaji wao usiathiri harakati za maendeleo na miradi kusudiwa yenye viwango vilivyopangiwa.

Ikiwa raisi ameshatoa maelekezo sisi raia walala hoi wanyonge tukamlilie nani ? Nilishtuka nilipomsikia Raisi Samia ambae ni Mzanzibari mkaazi kusema maneno yale,nikajisemea kimoyo moyo huenda anapiga dongo kuwa anayajua na at the same time ni onyo kuwa hatakuwa na muhali mambo yatakapofurutu ada kwa mhusika.
 
Ni kauli za kijanga sana na sijawahi kufikiri upumbafu kama huu??? Kwa hiyo amehararisha watu wapige wanavyotaka? Bogus kabisa
Mkiambiwa hii ni awamu ya 4B muwe waelewa sahizi kama hauko kitengo ndio muda wa kushuhudia hadi secretary wa halmashauri akisimamisha mjengo ndani ya miezi michache😅
 
Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......

Mama ameongea mengi akitaja MUHALI....🙏
Hii ni fasihi na fasihi haijawahi kuwa na jibu moja, hivi kwenye kuchongeana unaweza tumia msemo kila mbuzi ale urefu wa kamba yake na mbona mnakula sana mpka mnavembewa?

Mhari ni hali kuoneana haya pindi mtu wako wa karibu anapofanya jambo ambalo linastahili adhabu au kukanywa. Mhari, mbuzi kula urefu wa kamba yake, kuvembewa wewe hujaona tofauti au nawe unataka kuwa kama Jobo kwa video imekatwa na kutengezwa
 
Mhe, ukishajua katika familia yako una mtoto au watoto waroho, huwezi ukawaacha wajipimie chakula wanachokitaka bali mzazi au msimamizi mwingine huwapimia ili wasile kupitiliza na kisha kuvimbiwa na hata kusababisha wengine kukosa chakula.

Mbaya zaidi, unajua wanakula sana ila unaendelea tu kwaangalia sijui mpaka wabebe na masufuria!

Mtoto umleavyo, ndivyo akuavyo.

Kazi kwako.
 
Kwanza ukisikiliza hiyo Crip ina shida gani? Mbona Rais anawaasa mawaziri kuacha wizi? Tena anawaambia waache urafi na katoa mifano .

Lakini ni ukweli pia kwamba kila mtu anakula alipo ila ulaji usiwe wa uharibifu.
We unaona lipo sawa hilo? Ni sawa na mzazi kusema vuteni bangi na unga ila msilanduke😅
 
"Unaelewa maana ya ufisadi?Nani kakwambia kuwa ufisadi ni kuiba?"

Unaniuliza nani alie niambia kwamba ufisadi ni kuiba alafu tena unajijibu mwenyewe kwamba,

"Wizi ni sehemu ya ufisadi"

Basi uko sawa, umekata gogo!!, alafu umezoa mwenyewe.
Acha kujifanya kuwa hamnazo.Wewe ulikuwa unafikiri kuwa ufisadi ni kuiba peke yake na ndiyo maana ukawa unadai kuwa mtu alieiba fedha nyingi kiasi hicho amezificha wapi?Kumbe ufisadi siyo lazima mtu aibe.

Unachopaswa kufanya ni kunishukuru kwa kuwa nimekupa elimu ya ufisadi.Ulikuwa hujui maana ya ufisadi.
 
Tuhamasishe wananchi wawakatae hata kabla ya uchaguzi?

Tuandamane?

Tugome na kufanya migomo ya nguvu?

" kila waziri anatakiwa ale kulingana na urefu wa kamba yake" Anonymous.
Sasa ni awamu ya ulaji tu, mikopo, tozo, miradi nk ni ulaji mtupu
 
Polepole bandugu !!! Aste aste kwa kihindi !! Kula sana matokeo yake ni kuvimbiwa tuu !! Wenye tabia hizo acheni mnatuzingua bhana !!!
Watanzania bhana!Waache wakati wamehamasishwa na Rais kuwa wajipimie?
Ingekuwa ni Taifa lingine hadi muda huu huyu Rais asingekuwa madarakani lakini kwa jinsi ulivyojibu hapo juu kuna uwezekano hadi wananchi wakaliwa na bado Rais akaendelea kudunda.
 
Back
Top Bottom