Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Imagine fisadi kama hili kuna watu wanaliita kuwa ni 'Mama'!🤡

Mimi nilimkataa tokea day one kwa sababu najua CCM ni ileile.Fisadi kama hili halina sifa ya kuitwa kuwa ni 'Mama'.

Mama gani hawezi kulilea Taifa?Ukimwita kuwa ni Mama ni unajidhalilisha tu.She is hopeless fool.Halafu hakuna kitu kinaniuma kama kulipa Tozo.

Imagine unajibana kulipa Tozo halafu kuna mbuzi huko wanaambiwa kuwa wale ila mradi wasivimbiwe kwa kuwa wamekuwa wakivimbiwa sana!
 

Mama kasema kweli! Corruption and embezzlement of public funds in the CCM government is institutionalized ! Amejaribu kuwaambia hao watendaji wake kila mtu ale urefu wa kamba Yake kwenye wizi !!! Tilishapigwa sana na tunaendelea kunyukwa kisawasawa mpaka tukome! Bila katiba mpya hakuna suluhu ni mwendo wa kunyukwa tuu !
 
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Ulichokiandika hakina heshima kwa nchi ambayo ni yako. Bora tu tucheze mdumange kule bonde au Lushoto. Ila ulichokiandika hapana hakina heshima kwako, kwangu na nchi.
 
Ww unyoroshwe vizuri kabisa
 
Mbona laisi tu,kuna mtu aliwahi yatamuka haya maneno:
1)wapeni polisi 5000/=,hiyo ni hela ya brush,
2)unataka upanuliwe mbere au nyuma!!?
3)kama huwezi lipa 200/= rudi na mavi yako nyumbani

Na bado akapata watetezi.
Mata.......... kama huyu ni wa kusamehe bure
 
Mbona laisi tu,kuna mtu aliwahi yatamuka haya maneno:
1)wapeni polisi 5000/=,hiyo ni hela ya brush,
2)unataka upanuliwe mbere au nyuma!!?
3)kama huwezi lipa 200/= rudi na mavi yako nyumbani

Na bado akapata watetezi.
Hizi ni kauli za Rais wa wanyonge 😁😁😁😁
 
Kama Kiguu analitambua hilo. Then what ? She think this is the Solution ? Serikali yakipigaji hiii , kama mpaka masterroom ya Inch inalitambua hili na hamna hatua inachukua
 
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.

Siyo Mungu alichukua garasa mapema...?
 
Mama Mkweli mno
 
HiLI Limama ni li kichaa kabisa, unahalalisha rushwa kweli,Daa itachukua muda kumpata Magufuli mwingine
 
Nimefika zanzibar salama...

Tz imegeuka shamba la bibi chuma mboga nenda zako
 
Usimlinganishe putin na hivi vijirais vyenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…