Rais Samia leo kafanya kosa kubwa sana. Huwa hatukunjui makucha kwa waliotukosea

Hafidh Ameir amejitahid kumshauri maza, ila maza hamsikilizi hata kidogo.​

 
Sisi wabunge sio wateule wa Rais tumetumwa na wananchi. TUSITISHANE labda aitishe uchaguzi nchi nzima ili atutoe kwenye kura za maoni kwa kuwatumia wajumbe.

Atajua Hajui
 
Wewe unajuaje kama bado hajajaa kwenye comfort zone?do you have all information kuliko wasaidzi wa Raisi?
 
tatizo mnashindwa kupambanua Boga na Tango.
Kiufahamu tabia za kike na zakiume ni tofauti ,kwa ikilivyo Raisi Samia yupo sahihi kabisa,wenyewe wanasema amempa makavu makavu,amempasha ,aafu sku izi wamama wanatabia wakikasirika wanakamata machuchu na kuyainua kwa pamoja,zamani walikuwa wanajifunga na kukaza kibwewe wasku izi ndio hio ya kuyainua machuchu kama wanaopania .
Warume tukubali wammama huu ni utawala wao na style za kupandisha hasila kikawaida zipo nje nje.
 
Mama akitangaza mabadiliko ya baraza watakao kuwemo watakuwa nahofu tu na uoga then hata kazi watafanya kwa uoga uoga na watakuwa wana waogopa wanao thani ni marafiki wa mama popote walipo iwe serikalini ama nje ya serikali.

Akitaka kaziiendelee awape nguvu watendajiwake kama alivyo fanya hayati iliwamsaidie kikamilifu kudhibiti ufisadi na kujenga nchi.
 
Sikia kila mtu ana plan zake na usije kujidanganya kuwa maza hajui afanyali,ashaplan kila kitu,we subiri matokeo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mama awe mtulivu na hao wanaomshauri awaangalie kwa karibu.
 
Kwa case kama hii, Samia amgeweza kuwa soft sana kama nilivyosema hapo mwanzo halafu baada ya kama wiki mbili au tatu mambo yakishapoa, ndio anafanya fujo za kuvunja baraza la mawaziri ikifuatiwa na taratibu za Ndugai kuvuliwa u spika.


Ukiwa soft na kumsamehe hadharani halafu baadaye ukamuattack hakika huo sio uungwana. Ni moja kati ya haya mambo mawili tu yalipaswa kufanywa; 1--- kumsamehe mazima na kumuweka under surveillance, 2---- Kumkaanga mazima baada ya kuangalia historia ya mwenendo wake hapo kabla, ni hii njia ndio Mama kaifuata.

Ndugaye sio mtu aliyefaa kuwa Spika jinsi Magufuli hakufaa kuwa raisi.
 
Kumbe bado inanyesha. Ina maana bado hatujajua panapovuja tubazibe?
 
Ndugai ananguvu gani bana
 
Kwa hali ilivyo Spika Ndugai akiendelea kuwa na Uspika kwa masaa mengine 48 atakuwa hasomi alama za nyakati.. Mkuu wa nchi akishakosa imani na wewe unapaswa kujiuzulu..
Asipojiuzulu atalazimishwa kujiuzulu.. Hadhi ya Rais wa nchi ni muhimu kuliko maisha ya mtu..😎
Ampishe SSH aendelee na kazi..
Huu ni wakati wa SSH ' to put her house in order'.. katika uongozi wa nchi hakuna kitu muhimu kama 'Loyalty'..
 
Alisha wajua na anawafahamu wano mzunguka acha awape vidonge vyao .
 
Tatizo intelijensia. Mnasahau intelijensia. Mipango mingi ipo wazi, wazi sana ila inawekwa wazi kwamba ipo wazi kwa kuchekewa baada ya udhibiti.
 
Kwa uhakika mpaka mtu anatoka hazarani na kumshambulia Bosi wake ni kuwa alianzia Mbali, na chama,serikali ni taasisi Ndogo ambazo unaweza kufanya utafiti kwa muda Mdogo na kuwajua wote, Rais amekua kwenye hizo taasisi kwa muda wa kutosha anawajua kwa asilimia kubwa, kuwasema hazarani ni pigo Kubwa kwa ambao wako kinyume naye, Na kwa hali ilivyo hapakua na wala hakuna sababu ya kumshambulia na kumsema Rais ambaye amekua kwenye madaraka kwa chini ya Mwaka lakini akipitia changamoto Kubwa za ndani na za kimataifa, Mpaka sasa ameonyesha ni Kiongozi bora kuliko wote waliopita. Jamii isiyo na utaratibu ni jamii mfu, kuna utaratibu ambao ni katiba ufuatwe. na maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe na kufuatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…