Rais Samia leo kafanya kosa kubwa sana. Huwa hatukunjui makucha kwa waliotukosea

Hilo sio pigo ni njia tu ya wao kujipanga...
Walianza na gazeti la uhuru wanazidi kumsogelea
Vivaaa Ndugai.
Vivaaa mitano tenaaaa.
 
Tukimpa heshima mama tunaweza kufika mbali;yuko cool tena kisha ruhusu wanaotaka kupima kina cha maji wacha wapime.
 
Kwakweli amemsitiri sana, ilibidi ampe ampe tena.
 
Mgogo kiufundi alikosea kuomba msamaha kwa sababu alishashasema alinukuliwa vibaya sasa Kama alinukuliwa vibaya msamaha wa Nn angekaaa kimya, Pia angekaaa kimya alishajilipua kuomba Msamaha amezid kujiabisha anasimamia Nn
 
Ni mtizamo wako,binafsi naona mama kafanya jambo sahihi Ili kupeleka ujumbe kwa wapuuzi wengine.
 
Mama kanifurahisha sana yaani kawanyoosha kisawasawa
 
Mama kashika jembe, JOB kashika mpini na imani kubwa Job Ndugai atakuja na comeback ya aina yake sasa hivi ni mwendo wa liwalo na liwe tu.
 
Kwani 2025 CCM hawataiba kura. Mbona huu mpasuko? Huku wasukuma, kule wahehe, hapa wakwere. Ni wakati Sasa wachaga kujipenyeza katikati ya huu mpasuko.
 
Msituletee mambo ya kihuni.
Jiwe alikuwa akiua na kuwaweka jela waliompimga.
Akili za jiwe mpaka sasa binge angeshalivunja ila mama mvumilivu.
 
Spika sio mtumishi wa Rais.

Amandla...
Hahahaaaa kwenye karatasi ni kweli lakin kiuhalisia supika ni mtumish wa rais kwa sababu katiba haija eleza kama ukiwa supika huwezi futiwa uanachama ila inaeleza ukiwa huna chama huna sifa ya kuwa mbunge na huwezi kuwa speaker wa bunge ikiwa wewe sio mbunge na mwenyekiti wa chama ananguvu kubwa ya ushawishi wankufutiwa uanachama chaman hivyo tu yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…