Mimi ni sehemu ya shuhuda niliuona msafara wake akiwa wilaya ya Nkasi juzi. Kiukweli mimi binafsi niliumia sanaaa. Msafara n mkubwa sanaaa binafsi naweza kusema ni zaidi ya gari 200. Imagine gari za msafara zikiwa zimesimama sehemu zimepangwa urefu wake ni km 1. Jamani tuache masihara. Mama anazingua. Hela anazotapanya zinaumiza Watanzania. Na bado juzi kagawa bodaboda nchi nzima kwa viongoz wa Ccm ngazi ya kata. Hii nchi tufwile!
 
Anakuumiza wewe watanzania tunafurai anatujengeabshule,anatuletea maji,Elimu Bure,afya nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…