Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.

Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa sasa (kupitia suala la bandari) wanamuona Rais wangu kama mtu mwenye upeo mdogo au mwenye tamaa kubwa za kifisadi kuliko mwanasiasa yoyote aliyewahi kutokea hapa Tanzania. Sakata la bandari limeondoa heshima yote ya Rais Samia.

Kwa nia njema kabisa, ningependa kumpa huu ushauri Rais wangu mama Samia ili kuepuka kikombe hichi cha mkataba ya kipuuzi wa Bandari kilichozika kabisa nyota yake ya kisiasa kuelekea 2025. Ni vyema mara moja akalikana bunge lililopitisha mkataba ule kwa kumtosa Spika Tulia (kufanya kama alichokifanya kwa Ndugai) na hapo hapo kumtosa waziri wako mkuu (Kassim Majaliwa) kwa kitendo cha 'kumshauri vibaya' na ikiwezekana kumpiga chini na Mwanasheria kwa kushindwa 'kuwajibika ipasavyo kisheria.' Narudia tena, kisiasa mama Samia ameshaanguka na namna pekee ya kujaribu kuinuka ni kuachana na hilo limkataba la DP world kwa style ya kuwatosa vilanja wake. Ushauri wangu huu ipo siku utakumbukwa!

ANGALIZO
Mimi ni miongoni wa watu humu JF ninayemkubali Rais Samia kwa upendo wake kwa watanzania wote na uungwana wake katika kufanya siasa. Ni kitu cha kipekee alichonacho (Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni). Upande wa pili mimi ni mkosoaji wa utendaji mbovu wa Rais Samia unaotokana na kivuli kichafu cha CCM kinachomfunika, uwezo wenye mashaka katika kuchanganua mambo makubwa na taswira ya kifisadi anayotengenezewa na watu fulani fulani waliomzunguka. Ukweli usemwe hata kama ni mchungu!
Ni mgeni huko, kaletwa na JK jana tu, hajawahi kufanya kazi serikalini hata kwao huku kaingizwa juzi tu na Amani Karume wakawa serikali moja na kina Jussa. Nchi yao tu Zenji haijui vizuri sembuse Tanganyika? Kuna speech yeye mwenyewe anawaeleza vijana wa UVCCM akiwa MAKAMU, aliwaambia kaingia ukubwani tu tena kwa kujaribu kugombea uwakilishi mwaka 2001
 
Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.

Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa sasa (kupitia suala la bandari) wanamuona Rais wangu kama mtu mwenye upeo mdogo au mwenye tamaa kubwa za kifisadi kuliko mwanasiasa yoyote aliyewahi kutokea hapa Tanzania. Sakata la bandari limeondoa heshima yote ya Rais Samia.

Kwa nia njema kabisa, ningependa kumpa huu ushauri Rais wangu mama Samia ili kuepuka kikombe hichi cha mkataba ya kipuuzi wa Bandari kilichozika kabisa nyota yake ya kisiasa kuelekea 2025. Ni vyema mara moja akalikana bunge lililopitisha mkataba ule kwa kumtosa Spika Tulia (kufanya kama alichokifanya kwa Ndugai) na hapo hapo kumtosa waziri wako mkuu (Kassim Majaliwa) kwa kitendo cha 'kumshauri vibaya' na ikiwezekana kumpiga chini na Mwanasheria kwa kushindwa 'kuwajibika ipasavyo kisheria.' Narudia tena, kisiasa mama Samia ameshaanguka na namna pekee ya kujaribu kuinuka ni kuachana na hilo limkataba la DP world kwa style ya kuwatosa vilanja wake. Ushauri wangu huu ipo siku utakumbukwa!

ANGALIZO
Mimi ni miongoni wa watu humu JF ninayemkubali Rais Samia kwa upendo wake kwa watanzania wote na uungwana wake katika kufanya siasa. Ni kitu cha kipekee alichonacho (Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni). Upande wa pili mimi ni mkosoaji wa utendaji mbovu wa Rais Samia unaotokana na kivuli kichafu cha CCM kinachomfunika, uwezo wenye mashaka katika kuchanganua mambo makubwa na taswira ya kifisadi anayotengenezewa na watu fulani fulani waliomzunguka. Ukweli usemwe hata kama ni mchungu!
Tulia anafanya makusudi ili Rais aaibike.

Yule ni wa kuwa naye makini.
 
UKIONA BUNGE LINATEMBELEWA SANA NA WAGENI ,PIERE MARA MANDONGA ,POSHYQEEN SJUI BABALEVEL MWIJAKU STEVEN NYERERE ,MARA SIJUI MANARA ANAENDA BUNGENI KUWAONESHA
WAKE ZAKE
BASI HAPO HAKUNA BUNGE ILA NI SEHEMU TU YA WAO KUBURUDIKA

ova
 
Haahaaa eti japo Mruma anajua ung'eng'e kiasi. Ukweli ni kuwa watanzania wengi wanaojiita wasomi wanajua kiingereza cha ugoko wakati wa mjadala wa amani, lakini wanapokuwa kwenye mazingira ya mgogoro ni aibu ya hatari.

Halafu ukiwakuta hao maprofesa wetu wanafundisha vyuoni wanajifanya wanakijua sana kiingereza, na wanatoa elimu katika mazingira ya kukomoa na jazba, sababu mojawapo ni kwakuwa wana uelewa duni wa hiyo lugha.

Hiyo kesi imetuacha wazi kwenye suala la kupenda kusoma kuanzia wanaojiita wasomi, hadi wasio na elimu kabisa. Mruma alikuwa anajaribu kuongea kwa jazba na kuleta ile jeuri aliyowajaza Magufuli wakati ule. Alichokiongea Mruma ndio nimejua kwanini hatukuambulia chochote kwenye kile kikao cha miezi karibu mitatu ya siri kubwa kuhusu makanikia na madini yetu chini ya Profesa Kabudi.
Ma lawyer shikamoo. Hawa viumbe wakitaka kukutoa kwenye reli wanakuuliza kijiswali la kukupandisha jazba. Kuna kipindi kile kijukuu Cha kizungu kilimuuliza mruma ili kumtoa kwenye reli and I quote.
Kijukuu kiliuliza 'is that what your lawyer taught you'? Mzee mzima ung'eng'e mfukoni.
Hata Kama alivuna hizo per diem na kuvaa suti Kali, lakini mavi debe.
 
Wewe si ndiye ulinipotezea muda kubishana na wewe siku nzima kuhusu kwamba ni mkataba au makubaliano? Aisee.., siwezi tena kupoteza muda na chawa wa namna hii.., ninachokueleza kuhusu hao wawili kuondoka nakifahamu kwa undani kuliko unavyojua.

Mkataba/makubaliano vyote ni sawa tu kwa muktadha wa suala la DPW. Inategemea lugha ya mtumiaji wa maneno hayo.
 
Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.

Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa sasa (kupitia suala la bandari) wanamuona Rais wangu kama mtu mwenye upeo mdogo au mwenye tamaa kubwa za kifisadi kuliko mwanasiasa yoyote aliyewahi kutokea hapa Tanzania. Sakata la bandari limeondoa heshima yote ya Rais Samia.

Kwa nia njema kabisa, ningependa kumpa huu ushauri Rais wangu mama Samia ili kuepuka kikombe hichi cha mkataba ya kipuuzi wa Bandari kilichozika kabisa nyota yake ya kisiasa kuelekea 2025. Ni vyema mara moja akalikana bunge lililopitisha mkataba ule kwa kumtosa Spika Tulia (kufanya kama alichokifanya kwa Ndugai) na hapo hapo kumtosa waziri wako mkuu (Kassim Majaliwa) kwa kitendo cha 'kumshauri vibaya' na ikiwezekana kumpiga chini na Mwanasheria kwa kushindwa 'kuwajibika ipasavyo kisheria.' Narudia tena, kisiasa mama Samia ameshaanguka na namna pekee ya kujaribu kuinuka ni kuachana na hilo limkataba la DP world kwa style ya kuwatosa vilanja wake. Ushauri wangu huu ipo siku utakumbukwa!

ANGALIZO
Mimi ni miongoni wa watu humu JF ninayemkubali Rais Samia kwa upendo wake kwa watanzania wote na uungwana wake katika kufanya siasa. Ni kitu cha kipekee alichonacho (Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni). Upande wa pili mimi ni mkosoaji wa utendaji mbovu wa Rais Samia unaotokana na kivuli kichafu cha CCM kinachomfunika, uwezo wenye mashaka katika kuchanganua mambo makubwa na taswira ya kifisadi anayotengenezewa na watu fulani fulani waliomzunguka. Ukweli usemwe hata kama ni mchungu!
Nilisema mimi kuwa hili sakata la DP World ndiyo litatumiwa na wahafidhina wa CCM kumtengenezea Samia kitanzi ajimalize mwenyewe
 
Ifahamike pasi na shaka, Uwaziri mkuu au Uspika hauna hati miliki. Moja kwa moja kwenye hoja.

Waziri mkuu, Kassim Majaliwa, bila aibu na bila kupepesa macho, ametoa kauli za uongo na zenye kulenga kuchangamya wananchi juu ya mkataba wa uendelezaji bandari, hali kadhalika hili kimefanywa na Spika wa Bunge, Tulia Ackson.

Ni aibu hata kuweka clip zao kwa sasa, maana wamejidhalilisha na wako UCHI!

Namna pekee ya kumrudishia nguo Rais wetu Samiah Suluhu Hassan ni kuwafyeka shingo hawa waongo wawili, aibu gani hii?!!!
Sio hao tu mkuu,CCM na serikali yake should go in it's etirerity,miaka sitini(60) ya Uhuru wameshindwa kabisa kuiletea Tanzania maendeleo chanya pamoja na resources zake nyingi:ni ufisadi tu,mikataba mibovu,kushirikiana na mabeberu kuharibu elimu,kuharibu Kilimo, afya za watu nk.nk..Tulipaswa kimaendeleo kuwa mbali sana.Waondoke,we want our Tanganyika back.
 
Mruma asingejitambulisha Kama profesa mbele ya vile vitoto vya kizungu. Angesema from foo alipata div foo Kama waziri Fulani aliyepata F ya uraia, F ya hesabu na F ya kiingereza.

Kujitambulisha Kama Prof kumewavua nguo maprof wengi wa kitanzania.

Mruma na dada Joy hawachekani japo mruma anajua ung'eng'e kiasi.
Da Joy inglishi noti richabo kabisa
 
2025 Majaliwa atakuwa ametimiza miaka 10 akiwa Waziri Mkuu, sidhani kama mama atamuongezea muda tena. Labda kwa huyu Miss wa bunge.
 
Kwa hiyo bora angebaki Ndugai tu? Kuliko Tulia
 
Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.

Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa sasa (kupitia suala la bandari) wanamuona Rais wangu kama mtu mwenye upeo mdogo au mwenye tamaa kubwa za kifisadi kuliko mwanasiasa yoyote aliyewahi kutokea hapa Tanzania. Sakata la bandari limeondoa heshima yote ya Rais Samia.

Kwa nia njema kabisa, ningependa kumpa huu ushauri Rais wangu mama Samia ili kuepuka kikombe hichi cha mkataba ya kipuuzi wa Bandari kilichozika kabisa nyota yake ya kisiasa kuelekea 2025. Ni vyema mara moja akalikana bunge lililopitisha mkataba ule kwa kumtosa Spika Tulia (kufanya kama alichokifanya kwa Ndugai) na hapo hapo kumtosa waziri wako mkuu (Kassim Majaliwa) kwa kitendo cha 'kumshauri vibaya' na ikiwezekana kumpiga chini na Mwanasheria kwa kushindwa 'kuwajibika ipasavyo kisheria.' Narudia tena, kisiasa mama Samia ameshaanguka na namna pekee ya kujaribu kuinuka ni kuachana na hilo limkataba la DP world kwa style ya kuwatosa vilanja wake. Ushauri wangu huu ipo siku utakumbukwa!

ANGALIZO
Mimi ni miongoni wa watu humu JF ninayemkubali Rais Samia kwa upendo wake kwa watanzania wote na uungwana wake katika kufanya siasa. Ni kitu cha kipekee alichonacho (Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni). Upande wa pili mimi ni mkosoaji wa utendaji mbovu wa Rais Samia unaotokana na kivuli kichafu cha CCM kinachomfunika, uwezo wenye mashaka katika kuchanganua mambo makubwa na taswira ya kifisadi anayotengenezewa na watu fulani fulani waliomzunguka. Ukweli usemwe hata kama ni mchungu!
Nimemkubali Samia kama mama, mzazi na mlezi, mwenye huruma...
Tatizo ni zile kelele na hila kutoka ndani. It is unfortunate! Kama dhambi si yake mbingu ataiona.
 
Mkataba/makubaliano vyote ni sawa tu kwa muktadha wa suala la DPW. Inategemea lugha ya mtumiaji wa maneno hayo.
Wewe kasome ripoti ya Sekretariet ya bunge.., halafu kajibizane nao. Kwamba serikali ilikuwa inapinga nini kwamba si mkataba bali ni makubaliano?
 
Back
Top Bottom